Nataka kuanzisha Kabila jipya na la kisasa

Lazima dishi limeyumba huyu
 
Msichokijua haya myaitayo makabila mengi yalikuwa ni himaya au kifupi nchi Zinazojitegemea.

Zenye mifumo kamili ya kiutawala, njia za kiuchumi na mifumo ya kiimani.

Kabla hawajavurugwa, hawajapigwa, hawajatawaliwa, hawajatekwa, hajaja mkoloni, biashara ya utumwa na kuletwa Miungu ya kigeni kwenye himaya zetu.
 
Siyo kweli. Kuanzisha kabila jipya ni kitu kinachowezekana kabisa ni mipango tu na uvumilivu 😎
 
Labda uliite sukuma gang, friends of mama, maridhiano clan, democracy family au republic alliance for new recouncillation of national au jina lolote lenye sound ya kisiasa huenda ndio ikawa kabila lenyewe la kisiasa
Msoga connection 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Nilitegemea kuna mtu atalisema hili.

Kuna watu niliwajibu suala la utambulisho siyo muhimu sana kwa sasa maana hakuna faida zozote za moja kwa moja kwa sasa kutaka kabila hilo kutambulika.

Na pia ni muhimu kujua vigezo vya kabila kutambulika ni vipi 😎
 
Siyo kweli. Kuanzisha kabila jipya ni kitu kinachowezekana kabisa ni mipango tu na uvumilivu 😎


Kabila linakuwa na lugha yake, tamaduni na mila zake na kubwa zaidi mila na tamaduni zinajengwa kulingana na genetics za watu wa kabila husika na ndio maana nasema huwezi kujenga a pure tribe from the scratch, lakini unaweza kujenga kabila moja kubwa lenya mkusanyiko wa makabila kadhaa ya asilia ambayo tayari yapo.. na hapo utakuwa simply umejenga taifa na sio kabila.
 
Lipo nimelianzisha kitambo na tupo 95 sasa,tunaongea lugha yetu mpya inaitwa KIKUMBO na kabila letu linaitwa BAKUMBO.Baada. ya miaka 700 litakua taifa kubwa sana hapa africa.
 
Acha bangi mujndo wa makabila hauanzishwi kama unavofikiria ni kitu imekaa kama asili(nature)
 
kwaiyo itakua ni kabila la taifa gani? Yani sisi tutakua tunatambulika kama watu wa nchi/taifa gani?

Linaweza kuwa ni kabila la wahazabe lakini walio changamka yani wa mjini, na lugha ile ya wahazabe lakini inaboreshwa inakuwa luga yetu sasa[emoji23][emoji23][emoji23] apo unasemaje mkuu? Ila tunasubiri mwenyekiti atoe muongozo haya ni mawazo tu
 
Hizo lugha, tamaduni na mila ndiyo tunaenda kuziunda sisi wenyewe ila badala ya kusubiri zije zenyewe kwa kiasi kikubwa tunazipa miongozo. Genetics zitajengwa pia kutokana na kuzaliana na muingiliano kati ya members kwa muda mrefu 😎
 
Wewe hauna tofauti na Nimrod wa mnara wa Babeli, muulize kilichompata.

Nguvu iliyo nyuma ya wazo lako sio nzuri. Utapotea
Kwa nini unasema hivyo? Embu dadavua kidogo. Kuna dhambi yoyote katika kuanzisha kabila? 😎
 
Nalo hili litakuwa naturally made. Kubadili makabila ya sasa ni ngumu sana maana hata viongozi wake hawana nguvu tena wala ushawishi. Njia pekee ni kuanza upya [emoji41]
Fanya hima uanze, sijui una umri gani sasa, angalau miaka 70 mpaka 80 ya maisha yako ushuhudie juhudi zako za msingi zikiwa zinatokea.
 
Linaweza kuwa ni kabila la wahazabe lakini walio changamka yani wa mjini, na lugha ile ya wahazabe lakini inaboreshwa inakuwa luga yetu sasa[emoji23][emoji23][emoji23] apo unasemaje mkuu? Ila tunasubiri mwenyekiti atoe muongozo haya ni mawazo tu
tumsubiri mwenyekiti atoe muongozo na sisi yutoe mawazo yetu
 
Mdogo mdogo hili wazo naendelea kulifanyia kazi. Baada ya vizazi kadhaa nitawaletea mrejesho πŸ€£πŸ˜‚
 
Tujue IQ yako kwanza
 
Huku wameanzisha tayari la mashoga na linakuwa haswa
Wanataka liwe kabila la kimataifa
Tuache hayo
Kuna wazungu America waliamua kujitenga na watu wengine kwa ajili ya tabia za hovyo na wizi
Walichukua ardhi kubwa sana wakajichagua the finest wakaanza kujenga nyumba zao na bonge la fence
Wameweka shule zao, hospital, markets, yaani kijiji chao
Unaacha mlango wazi na kama ulikuwa unatengeneza gari lako au unasafisha garden, tools zote unaacha nje hakuna wa kugusa
Wanasaidiana kwa kila jambo
Yaani kuingia hiyo community lazima CV yako iwe Safi haswa

Natamani nianzishe ya hivyo kama wewe au tuanze
Masharti tunakataa yaliyo mabaya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…