Nataka kuanzisha kijiwe cha kuuza magari used, kuna eneo mbele ya barabara ya lami

Nataka kuanzisha kijiwe cha kuuza magari used, kuna eneo mbele ya barabara ya lami

Gien Banks

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
336
Reaction score
887
Husika na kichwa cha habari.

Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm).

Mwenye gari anaetaka uza anakuja ku park gari inakua sokoni tukiuza napata %, walengaji na walengwaji kama kawa watakaribishwa.

Madalali tuta wa consider tho bado its a rough idea.

Hii imekaaje wakuu? Maana yote katika kujikwamua kiuchumi.

Karibuni kwa maoni na kama kuna wazo mbadala karibu pia.

Many thanks

1620110528181.png
 
Ni idea nzuri.. Itakuwa nzuri zaidi ikitiki(kupata wateja)

Ila mfano gari iko Chanika.. Kutoka Chanika kuja hapo labda mafuta ya 20 elfu kasoro kidogo kila trip(siku)
Utafanyaje hii ama gari zitalala hapo hapo..

Je zikiwa ni za kwenda na kurudi, gharama za mafuta itakuwaje!?

Kama zinalala hapo hapo, vipi zikiwa nyingi zaidi ya eneo husika!?
 
Ni idea nzuri.. Itakuwa nzuri zaidi ikitiki(kupata wateja)

Ila mfano gari iko chanika.. Kutoka chanika kuja hapo labda mafuta ya 20 elfu kasoro kidogo kila trip(siku)
Utafanyaje hii ama gari zitalala hapo hapo..

Je zikiwa ni za kwenda na kurudi ,gharama za mafuta itakuwaje!?

Kama zinalala hapo hapo, vipi zikiwa nyingi zaidi ya eneo husika!?

Nawaza kuwa na limits ya magari chief maana yake zikijaa....we’ll simply tell others that space iko full.

Nilikua nawaza if zikiwa zina lala hapa hapa na je what if i use a few loyal partners au nilenge mwenyewe niuze mwenyewe....sema swala la kulenga mwenyewe nayo yahitaji mzigo.

Maana ki ukweli naweza nisiwe sure gari zingine uhalali wake...maana mjini hapa kuna mambo mengi.

Bado nakaribisha mawazo chief
 
Nawaza kuwa na limits ya magari chief maana yake zikijaa....we’ll simply tell others that space iko full.

Nilikua nawaza if zikiwa zina lala hapa hapa na je what if i use a few loyal partners au nilenge mwenyewe niuze mwenyewe....sema swala la kulenga mwenyewe nayo yahitaji mzigo.

Maana ki ukweli naweza nisiwe sure gari zingine uhalali wake...

Bado nakaribisha mawazo chief
Ngoja nile daku, niswali.. Kisha nitakuja chief.
 
All the best...kuna vitu napendaga kutoka kwako...tumepishana kidogo tu!
 
Ait One [emoji817]
Ukiweka limits ya magari basi ujue tayari biashara umefunga mlango mmoja..

Kikubwa jiwekee standard(ubora) ya gari unazouza, ni rahisi kulikamata soko kwa vitu bora na vya uhakika, ikiwezekana uwe hata na fundi wa kukagua gari uwe unauza kitu cha uhakika.. hizo ndio za kukaa hapo.

Ikitokea zimejaa hapo, si mbaya gari akibaki nayo mwenyewe, lakini wanapikuja wateja unawatangazia kwa aina ya gari wanayotaka pia kuna hii na hii na hii, ila hazipo hapo sababu ya nafasi.

Na hakikisha hizo za kukaa huko majumbani kabla ya kuzitangaza ni uletewe mzigo ukague(uhalali na ufundi) kisha mtu ndio akakae nayo, akija mteja inaletwa ama mnaweza kwenda kuiona pia..

Zile gari ambazo utaletewa na unaona ubora si mzuri usikae nazo hapo, unatafuta sababu za kukaa mbali, ila zinakuwa sokoni, mteja akija unampa ukweli. Mfano kuna ist hizi hapa anaziona, unamuonesha na zile zilizo bora ambazo zipo majumbani(zisizokuwepo sababu ya nafasi) kisha ndio unamuonesha na zile ambazo una mashaka nayo kiufundi(sio kiuhalali) ila unamueleza bayana kuwa chombo hiki kina tatizo fulani, ac mtihani, hivi na hivi..

Hapo unaweza kwenda nao sawa, hasa wakikuzoea...

Gari unampa mtu kutoakana na mahitaji yake na pesa yake pia..
 
Ait One [emoji817]
Achana na mambo ya kizamani ya kudisplay kwenye yadi , uza kwa kuweka picha za gari zinazouzwa kwenye mtandao kama Instagram, Jamiiforum etc andika details zote za gari na bei yake. Utauza. Gari inakuja yadi wakati mteja anataka kuiona na/au kununua
 
Mkuu ni moja ya wazo zuri sana inshallah pakawe zaidi ya matarajio yako
 
Achana na mambo ya kizamani ya kudisplay kwenye yadi , uza kwa kuweka picha za gari zinazouzwa kwenye mtandao kama instagram, jamiiforum etc andika details zote za gari na bei yake. Utauza. Gari inakuja yadi wakati mteja anataka kuiona na/au kununua

Nafahamu sana kuna mitandao mkuu....ila amini nakuambia kuwa na physical address is the real deal people wanna see ur presence waje wakuone na products zako

Ndio maana watu huwa na showroom ku display sample...online marketing ni lazima ila mteja anajaa zaidi akija kuona product physically...kuna raha ya kufanya biashara physically.

Leo siku ikiisha fatilia aliyeuza kitu online na physically nani ame make sana ?? Utakubali

Kuna raha kijiwe kikiwa na shamra shamra za biashara physically....hata fursa zingine zinapatikana hapo hapo...

Regards
 
Hivi yard za magari zinalipa mkuu?

Naona kama jamaa wa SBT, Be Foward na wengine kama wamewaharibia soko wauzaji wa ndani!
 
Nafaham sana kuna mitandao mkuu....ila amini nakuambia kuwa na physical address is the real deal people wanna see ur presence waje wakuone na products zako

Ndio maana watu huwa na showroom ku display sample...online marketing ni lazima ila mteja anajaa zaidi akija kuona product physically...kuna raha ya kufanya biashara physically.

Leo siku ikiisha fatilia aliyeuza kitu online na physically nani ame make sana ?? Utakubali

Kuna raha kijiwe kikiwa na shamra shamra za biashara physically....hata fursa zingine zinapatikana hapo hapo...

Regards
Ayiwah!! swadakta kabisa mkuu tutaweka na coffee shop hapo maana watu wa magari wanakunywa kahawa
physical adress ndo mpango
 
Achana na mambo ya kizamani ya kudisplay kwenye yadi , uza kwa kuweka picha za gari zinazouzwa kwenye mtandao kama instagram, jamiiforum etc andika details zote za gari na bei yake. Utauza. Gari inakuja yadi wakati mteja anataka kuiona na/au kununua
Kwahiyo pia itakaguliwa mtandaoni, muache kukariri mambo, hata Japani bado kuna yard za kuuza magari, mbona unadiscourage mwenzio mkuu.
 
Ndugu kwanini kwanza usingejitanua kwenye social media halafu, kwenye hilo eneo ndio ufanye kama ndio makao makuu/ Ofisi ya kufanyia biashara.

Ukifanya hivyo kwanza utajijengea uaminifu halafu mdogo mdogo utapata namna ya kubalance nijinsi gani ulioparate hilo eneo,.Jibu unalotafuta ni gumu mpaka uingie field kwanza ndio utajua ufanye nini.

Maana wanaouza magari yao unakuta wana interest tofauti, so kuja kuweka gari yake kwenye yard hapo itakuwa ngumu maana madalali ni wengi. Ungekuwa na million kadhaaa za kulenga hata magari 10 ya kuanzia ingekuwa poa zaidi
 
Kama million ngapi? I appreciate ur comment big time. Thanks Mkuu nimejifunza jambo.
 
Husika na kichwa cha habari.

Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm).

Mwenye gari anaetaka uza anakuja ku park gari inakua sokoni tukiuza napata %, walengaji na walengwaji kama kawa watakaribishwa.

Madalali tuta wa consider tho bado its a rough idea.

Hii imekaaje wakuu? Maana yote katika kujikwamua kiuchumi.

Karibuni kwa maoni na kama kuna wazo mbadala karibu pia.

Many thanks
Mkuu vipi hako kaeneo naweza kupata hata pa kujibanza niwe naleta biashara yangu ya majeneza hata kwa pembeni kidogo nayapanga hapo then kila ninapouza unapata asilimia zako?
Maana kuna kijiwe nilipata hapa karibu na Muhimbili lakini nineona niwe na branch hata tatu hivi kwa hapa Dar maana kule Dom biashara sio nzuri kivile
 
Dodoma hawafi saana? Au wanaokufa wengi ni waislamu

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom