Nataka kuanzisha kijiwe cha kuuza magari used, kuna eneo mbele ya barabara ya lami

Nataka kuanzisha kijiwe cha kuuza magari used, kuna eneo mbele ya barabara ya lami

Mkuu vipi hako kaeneo naweza kupata hata pa kujibanza niwe naleta biashara yangu ya majeneza hata kwa pembeni kidogo nayapanga hapo then kila ninapouza unapata asilimia zako?
Maana kuna kijiwe nilipata hapa karibu na Muhimbili lakini nineona niwe na branch hata tatu hivi kwa hapa Dar maana kule Dom biashara sio nzuri kivile

Hii biashara aisee hapana. Niwe tu mkweli.
 
Dodoma hawafi saana? Au wanaokufa wengi ni waislamu

[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Kule ni nyumbani kama ujuavyo nabii hakubaliki kwao ndio maana biashara inakuwa nzuri nikiwa Dar ila kijiwe changu cha Dom wateja wachache tena wengi wao wanatumia ile kufahamiana eti ndo upunguze bei ya jeneza mbaya zaidi wengine wanakuja kukopa eti msiba ukiisha watakuja kulipa
 
Fika kwanza ofisi za TRA usije ukapewa kesi ya uhujumu uchumi tukakupoteza wana Jf
 
Mkuu vipi hako kaeneo naweza kupata hata pa kujibanza niwe naleta biashara yangu ya majeneza hata kwa pembeni kidogo nayapanga hapo then kila ninapouza unapata asilimia zako?
Maana kuna kijiwe nilipata hapa karibu na Muhimbili lakini nineona niwe na branch hata tatu hivi kwa hapa Dar maana kule Dom biashara sio nzuri kivile
Mkuu , vipi Huko maeneo ya muhimbili,
Kunazo nafasi Nijisogeze kuweka cafeteria hapo ....?
 
Back
Top Bottom