Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 336
- 887
Ni idea nzuri.. Itakuwa nzuri zaidi ikitiki(kupata wateja)
Ila mfano gari iko chanika.. Kutoka chanika kuja hapo labda mafuta ya 20 elfu kasoro kidogo kila trip(siku)
Utafanyaje hii ama gari zitalala hapo hapo..
Je zikiwa ni za kwenda na kurudi ,gharama za mafuta itakuwaje!?
Kama zinalala hapo hapo, vipi zikiwa nyingi zaidi ya eneo husika!?
Ngoja nile daku, niswali.. Kisha nitakuja chief.Nawaza kuwa na limits ya magari chief maana yake zikijaa....we’ll simply tell others that space iko full.
Nilikua nawaza if zikiwa zina lala hapa hapa na je what if i use a few loyal partners au nilenge mwenyewe niuze mwenyewe....sema swala la kulenga mwenyewe nayo yahitaji mzigo.
Maana ki ukweli naweza nisiwe sure gari zingine uhalali wake...
Bado nakaribisha mawazo chief
Ngoja nile daku, niswali.. Kisha nitakuja chief.
Ukiweka limits ya magari basi ujue tayari biashara umefunga mlango mmoja..Ait One [emoji817]
Achana na mambo ya kizamani ya kudisplay kwenye yadi , uza kwa kuweka picha za gari zinazouzwa kwenye mtandao kama Instagram, Jamiiforum etc andika details zote za gari na bei yake. Utauza. Gari inakuja yadi wakati mteja anataka kuiona na/au kununuaAit One [emoji817]
All the best...kuna vitu napendaga kutoka kwako...tumepishana kidg tu!
Achana na mambo ya kizamani ya kudisplay kwenye yadi , uza kwa kuweka picha za gari zinazouzwa kwenye mtandao kama instagram, jamiiforum etc andika details zote za gari na bei yake. Utauza. Gari inakuja yadi wakati mteja anataka kuiona na/au kununua
Ayiwah!! swadakta kabisa mkuu tutaweka na coffee shop hapo maana watu wa magari wanakunywa kahawaNafaham sana kuna mitandao mkuu....ila amini nakuambia kuwa na physical address is the real deal people wanna see ur presence waje wakuone na products zako
Ndio maana watu huwa na showroom ku display sample...online marketing ni lazima ila mteja anajaa zaidi akija kuona product physically...kuna raha ya kufanya biashara physically.
Leo siku ikiisha fatilia aliyeuza kitu online na physically nani ame make sana ?? Utakubali
Kuna raha kijiwe kikiwa na shamra shamra za biashara physically....hata fursa zingine zinapatikana hapo hapo...
Regards
Kwahiyo pia itakaguliwa mtandaoni, muache kukariri mambo, hata Japani bado kuna yard za kuuza magari, mbona unadiscourage mwenzio mkuu.Achana na mambo ya kizamani ya kudisplay kwenye yadi , uza kwa kuweka picha za gari zinazouzwa kwenye mtandao kama instagram, jamiiforum etc andika details zote za gari na bei yake. Utauza. Gari inakuja yadi wakati mteja anataka kuiona na/au kununua
Ndugu kwanini kwanza usingejitanua kwenye social media halafu, kwenye hilo eneo ndio ufanye kama ndio makao makuu/ Ofisi ya kufanyia biashara.
Ukifanya hivyo kwanza utajijengea uaminifu halafu mdogo mdogo utapata namna ya kubalance nijinsi gani ulioparate hilo eneo,.Jibu unalotafuta ni gumu mpaka uingie field kwanza ndio utajua ufanye nini.
Maana wanaouza magari yao unakuta wana interest tofauti, so kuja kuweka gari yake kwenye yard hapo itakuwa ngumu maana madalali ni wengi. Ungekuwa na million kadhaaa za kulenga hata magari 10 ya kuanzia ingekuwa poa zaidi
Mkuu vipi hako kaeneo naweza kupata hata pa kujibanza niwe naleta biashara yangu ya majeneza hata kwa pembeni kidogo nayapanga hapo then kila ninapouza unapata asilimia zako?Husika na kichwa cha habari.
Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm).
Mwenye gari anaetaka uza anakuja ku park gari inakua sokoni tukiuza napata %, walengaji na walengwaji kama kawa watakaribishwa.
Madalali tuta wa consider tho bado its a rough idea.
Hii imekaaje wakuu? Maana yote katika kujikwamua kiuchumi.
Karibuni kwa maoni na kama kuna wazo mbadala karibu pia.
Many thanks
Dodoma hawafi saana? Au wanaokufa wengi ni waislamuMkuu vipi hako kaeneo naweza kupata hata pa kujibanza niwe naleta biashara yangu ya majeneza hata kwa pembeni kidogo nayapanga hapo then kila ninapouza unapata asilimia zako?
Maana kuna kijiwe nilipata hapa karibu na Muhimbili lakini nineona niwe na branch hata tatu hivi kwa hapa Dar maana kule Dom biashara sio nzuri kivile