BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
For sure unavuta bangi kutoka wakanda foreverHabarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state
No siasa, itaendeshwa kifalme.
Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.
Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo
Asanteni
Big bro Alex king la jnr
United Kingdom? unaunganisha kingdoms zipi?Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state
No siasa, itaendeshwa kifalme.
Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.
Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo
Asanteni
Big bro Alex king la jnr
Ugaidi umeingiaje hapa mkuu? Au una stress za maisha?Magaidi mengi ndiyo ambayo huwa na mawazo kama yako, ili yaanzishe ngome za kiharifu zisizokuwa na uzibiti, anyway sijui unachokiwaza kumkichwa huenda huna nia mbaya ila nikuhakikishie hauwezi kufanikisha kamwe.
Kuwa na akili basi mtu kakuomba ushauri we unakimbikia bangi, alafu bangi iheshimu ni tiba ya kifua lagda una udumavu wa akili ndo mana hujui umuhimu wake. Unaonekana una njaa kaliFor sure unavuta bangi kutoka wakanda forever
Hapqna ni jina tu, nimelenga kununua visiwa Kadha kuvifanya kuwa nchi mojaUnited Kingdom? unaunganisha kingdoms zipi?
Hahaha kaka asante mkuu, sijamanisha nyumba ya kuishi hii ni nchi mkuu usichukulie masihara Nina maanisha haswaNina eneo ekari 2000 ninauza kila ekari milioni 100 kama upo tayari ni pm
Unafanya nini humu Sasa?Jamii forums ishapoteza mvuto siku hizi
Asante mkuu naheshimu mawazo ya Kila mtuEndelea kumiliki nchi yako kupitia ndoto
Acha ushamba ww, wenzetu nchi za nje wanamiliki visiwa ww unaongea nini?Magaidi mengi ndiyo ambayo huwa na mawazo kama yako, ili yaanzishe ngome za kiharifu zisizokuwa na uzibiti, anyway sijui unachokiwaza kumkichwa huenda huna nia mbaya ila nikuhakikishie hauwezi kufanikisha kamwe.