BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
- Thread starter
-
- #21
Tashukuru mkuu mawazo hutofautiana, kwanini Huwa mnataka watu wawaze kama mnavo waza nyie. Kipindi watu wanabuni karatasi irahisishe kuandika mambo mbalimbali mwingine alikuja na wazo la kuanzisha toilet paper, ungekuwepo unge dharau lakini Leo hii zinatumika tena kwa kununuliwa, acha hizo mkuu heshima mawazo ya mtu sio lazima Kila mtu apende ccm, na chadema mambo hayako hivoNyuzi za hivi na wikiendi hizi ni kutafutiana ban bure wacha nijikaze tu
Asee nashukuru sana akili zenu zimejifunga mnafikiri hapa na pale sikulaumu hata ndo uwezo wako ulipo, nikikubebesha vitu vizito ka hivi utachiziZingatia matumizi sahihi ya bangi.
Hasa kuhakikusha umekula kabla ya kuvuta mjani
We ni mjinga sana , Ni kama wale wanawake wanaoponda manaume Hawana nguvu za kiume alafu unawainamia Kila wakikuhitajiJamii forums ishapoteza mvuto siku hizi
Bro Alex on the beat almaarufu BIG BROTHER ALEX kwanza umenielewa vibaya rafiki yangu na mdogo wangu .Tashukuru mkuu mawazo hutofautiana, kwanini Huwa mnataka watu wawaze kama mnavo waza nyie. Kipindi watu wanabuni karatasi irahisishe kuandika mambo mbalimbali mwingine alikuja na wazo la kuanzisha toilet paper, ungekuwepo unge dharau lakini Leo hii zinatumika tena kwa kununuliwa, acha hizo mkuu heshima mawazo ya mtu sio lazima Kila mtu apende ccm, na chadema mambo hayako hivo
Kaka umeni gusa sana kwa jinsi ulivyo react nimejofunza jambo kwako samahani kama nimekukwaza kaka maisha yanahekaheka nyingi sana Kuna muda unakaa unaona yanini kugombana na watu kwanini mungu asinifungulie riziki zaidi nikaanzishe taifa langu ila watu waishi kwa amani, wasibaguliwe, wasigombanishwe, wasigeuzee madaraka ya watu kuishi kitajiri, wasitekwe na kuuliwa kifo kibaya, najua ni ngumu ila ni moja ya malengo yangu mapya kichwani mwangu mwenyezi mungu anijaliw🙏🙏🙏🙏 nisamehe kaka kama umejisikia vibaya.Bro Alex on the beat almaarufu BIG BROTHER ALEX kwanza umenielewa vibaya rafiki yangu na mdogo wangu .
Ieleweke kuwa mwenzio asubuhi na mapema siku za wikiendi nakuwa nimeshalewa chakari ,mada uliyoweka inahitaji akili tulivu na yenye mnyambuliko vizuri pasina kuchanganya vitu kichwani ni hapo nikasema unanitafutia ban maana naweza kushusha nondo zangu hapa ambazo nitaishia kuulizwa na watoto wadogo ndiyo nini mwisho nijibu vibaya nile ban nikimaanisha hivyo sio vinginevyo mkuu wangu .👊
Hapana ndugu niko sawa kabisa ,relax and enjoy siku yakoKaka umeni gusa sana kwa jinsi ulivyo react nimejofunza jambo kwako samahani kama nimekukwaza kaka maisha yanahekaheka nyingi sana Kuna muda unakaa unaona yanini kugombana na watu kwanini mungu asinifungulie riziki zaidi nikaanzishe taifa langu ila watu waishi kwa amani, wasibaguliwe, wasigombanishwe, wasigeuzee madaraka ya watu kuishi kitajiri, wasitekwe na kuuliwa kifo kibaya, najua ni ngumu ila ni moja ya malengo yangu mapya kichwani mwangu mwenyezi mungu anijaliw🙏🙏🙏🙏 nisamehe kaka kama umejisikia vibaya.
Tusameheane ndugu yangu, mbogamboga wamenivuluga na kunichafua akili.Ugaidi umeingiaje hapa mkuu? Au una stress za maisha?
Natambua hilo lakini ni ndani ya nchi husika na unakuwa chini ya sheria za nchi husika.Acha ushamba ww, wenzetu nchi za nje wanamiliki visiwa ww unaongea nini?
Zunguka nje huko? Toka tz nenda nchi za wenzetu uone mambo yanaevyoenda
Kwani vatican city ina ukubwa gani?Hahaha kaka asante mkuu, sijamanisha nyumba ya kuishi hii ni nchi mkuu usichukulie masihara Nina maanisha haswa
United kingdom ñHabarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state
No siasa, itaendeshwa kifalme.
Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.
Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo
Asanteni
Big bro Alex king la jnr
Anza kwanza kuelewa maana ya united kingdomHabarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state
No siasa, itaendeshwa kifalme.
Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.
Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo
Asanteni
Big bro Alex king la jnr
Hilo eneo sio mali yako, ni mali ya serikali mkuu,Nina eneo ekari 2000 ninauza kila ekari milioni 100 kama upo tayari ni pm
Sawa mkuu usijali man,Tusameheane ndugu yangu, mbogamboga wamenivuluga na kunichafua akili.
Mkuu Vatican naona Ina itegeme sana Italy, mi nataka kustand as me and my peopleKwani vatican city ina ukubwa gani?
Kaka soma vizuri ni swaga TU nimesema hapo juu, alafu nika sema hakuna siasa nchi itaendeshwa kifalme hujaelewa kipiUnited kingdom ñ
Anza kwanza kuelewa maana ya united kingdom
Nakushauribuache bangiHabarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state
No siasa, itaendeshwa kifalme.
Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.
Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo
Asanteni
Big bro Alex king la jnr
Nisinge simulia unge juaje kaka, we umeishi maisha mchelemchele, si time fight story zetu haziwezi kuwa sawa endelea kuishi umo umo huu mziki wa hustle huwezi ndo mana nashanhaa watu wanadai siwezi eti bangi, kwa maisha tulioyapitia sioni kigumu mbele upo hapo mkuuWewe huyu huyu uliyeanzisha uzi leo kuhusu ushoga, na namna ulivyo kuwa unazipigia hesabu pesa za mwanaume mwenzio?