Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Sawa mkuu acha nifanyie kazi hiki ulicho nishauriSiku ukija kugundua kuwa wazo/ndoto hii haiwezekaniki utakuwa umepoteza muda wako mwing sana ambao ungeweza kuwaza mambo ambayo yanawezekana.
Hakuna mtu binafsi ana miliki nchi.
Nchi inatakiwa iwe na Bendera yake. Hela yake. Miundo mbinu kadha wa kadha. Ni mambo meng sana.
Labda uwe na eneo lako kubwa ambalo utaita ngome /himaya yako . Ambayo itakuwa chin ya nchi flan.
Achana na kuwaza kuwa na nchi.
Hebu anza kuwaza kuwa na Himaya.
Je unamiliki nyumba ngap had muda huu?.
Una viwanja au assets zozote kubwa ambazo zinaweza kubadilika na kukuwezesha kumiliki hata eka 10?.
Ukiacha kuwaza?. Je nn unacho ambacho unaona kitakufanya kufanikiwa kuwa na himaya yako?.
Sawa mkuu acha nifanyie kazi hiki ulicho nishauri
Asee safi sana mkuu umenifungua sana tafanya hichi ulicho nifahamisha shukrani sana๐๐Ukiwa na hela za Kutosha.
Unanunua eneo lako kubwa.
Unataarifu nchi husika mipango yako.
Unaweka Geti la kuingilia na mipaka yako.
Eneo haliwez kuguswa na Serikal ya nchi husika as Long as utafuata taratibu walizokupa.
Na serikal hiyo itakupa Miundo mbinu muhim kwaajali ya kumudu maisha ya kila siku.
(Maji,umeme, matibabu nk nk)
As long as utafuata taratibu zao .
Kwahiyo anza kuwaza kumiliki Himaya yako au ngome.
Utawakaribisha kujenga au kuendeleza ndan ya ngome yako wale tu unaowataka.
"Bangi Oyeeeeee" - Dr WajackoyahHabarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state
No siasa, itaendeshwa kifalme.
Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.
Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo
Asanteni
Big bro Alex king la jnr
Asante sana nashukuru lakini visiwa vya ziwani sio kipaumbel changu nataka vya bahariniNilikuwa sijakusoma vizuri nilidhani unahitaji hata kanchi kadogo nikwambie kama umeshaoa tayari nyumbani kwako ni nchi yako wewe ndio raisi wa nyumba mkeo waziri mkuu na waziri wa mipango.Kama una mtoto wa kiume anakuwa mkuu wa majeshi.
Kama unataka sehemu kubwa kidogo njoo huku kanda ya ziwa ukibahatika kupita na ndege juu ya ziwa victoria utaona visiwa vidogo vidogo vingi tu havikaliwi na watu basi wewe njoo tu uishi hapo ila omba kibali serikalini kwanza ila uitambue serikali kuu ya nchi.Ila tahadhari utakutana na nyoka wanaishi humo utafute utaratibu wa kutafuta urafiki nao.
Kipo kisiwa cha Juma hiki tayari wajanja wameshakichukua wavuvi wanavua dagaa tafuta cha kwako
Nashukuru sana mkuu ๐๐๐
Haina shida takukaribisha, inshallah nikifanikiwa Wala USIWE na shakaMilembe ulikuwa ward namba ngapi kiongozi?
Kujikaza mwenyewe ni kujiunga na chama cha Chaputa kikichopigwa marufuku๐๐๐Nyuzi za hivi na wikiendi hizi ni kutafutiana ban bure wacha nijikaze tu
Naomba nichangie mada yako kidogoUkiwa na hela za Kutosha.
Unanunua eneo lako kubwa.
Unataarifu nchi husika mipango yako.
Unaweka Geti la kuingilia na mipaka yako.
Eneo haliwez kuguswa na Serikal ya nchi husika as Long as utafuata taratibu walizokupa.
Na serikal hiyo itakupa Miundo mbinu muhim kwaajali ya kumudu maisha ya kila siku.
(Maji,umeme, matibabu nk nk)
As long as utafuata taratibu zao .
Kwahiyo anza kuwaza kumiliki Himaya yako au ngome.
Utawakaribisha kujenga au kuendeleza ndan ya ngome yako wale tu unaowataka.