mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university.
Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass.
Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni kununua vitabu ni hafifu bongo.
Nikataka nije na idea ya kusaidia watoto homework online but inahitaji investment kubwa sana haswa human resource.
Bado nna struggle
Kama kuna mtu ana wazo lolote anisaidie.