Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

Jamaa nyuzi zote anaandika yeye tu

Ipo Kama Copycate ya Jamiiforums ila ina Good User Experience na User Interface.
Ni lazima aandike yeye maana hana users wengi.
Japo naona kuna users wachache walio andika
 
Kwakua ndo anaanza ni lazima aandike hakuna namna, ila akiwa mzuri katika namna ya kuipromote atapata tu raia maana mimi mpaka leo sikuwa najua kama kuna jamiitalk, hii inaonyesha kiasi gani amefeli kweye kuitangaza.
Abadili jina, User Interface then Afanye Marketing zaidi Twitter.
 
Hii ni kukandamizia sasa
Ameona afanye kudadavua
Instagram
Telegram
JamiiForums
JamiiTalk
YouTube
SnapTube

Hizo ni baadhi ya mitandao zinazo randana labda zimemuinsipire
Kuhusu features
Amekuwa inspired na TikTok sawa na YouTube Shorts, Telegram sawa na WhatsApp na Wechat, Instagram sawa na Maga Hub Truth social, Facebook sawa na VK
Yaani ni kama TikTok walivyo kopy kila kitu kutoka Vine na baadae waka win kuizudi vine
 
Back
Top Bottom