mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
Asante japo naona mwitikio ni mdogo ngoja nisubirieAll the best,watakuja wenye ujuzi wakusaidie
Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university.
Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass.
Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni kununua vitabu ni hafifu bongo.
Nikataka nije na idea ya kusaidia watoto homework online but inahitaji investment kubwa sana haswa human resource.
Bado nna struggle
Kama kuna mtu ana wazo lolote anisaidie.
Nimeshaiandika idea.Anzisha KWA uwezo wako .. Alafu uainishe ni KWA namna Gani Pesa inapatikana kwenye platform yako...
Statements ziwe clear siyo za kubumba ..
Kuwe na legal structures alafu ..
Turaise funds .. KWA croudsourcing ama KWA investors .
Hii ni super idea, nikifanikiwa nitakurudia mkuu uone wazo lako linavyofanya kazi.Anzisha Platform ya kuuliza na kujibu maswala.
Yaani hapo wanafunzi wanauliza walimu wanajibu, pia inakuwa automatically ina leta majibu kwa maswali yaliyo wahi kuulizwa au kujibiwa hapo inaweza kuwa kimbilio kwa Wanafunzi hasa wanachuo.
Umeshafungua kampuni , umekamilisha legal structures zote, Platform inafanya KAZI au ni idea tuu mkuu?Nimeshaiandika idea.
Hapo kwenye kuraise fund naomba nifafanulie kidogo mkuu
Ni idea tu mkuu, bado hakuna nilichoanza rasmi.Umeshafungua kampuni , umekamilisha legal structures zote, Platform inafanya KAZI au ni idea tuu mkuu?
Bila shaka ni www.jamiitalk.comNaomba link nikatazame
Jamaa nyuzi zote anaandika yeye tuBila shaka ni www.jamiitalk.com
Kwakua ndo anaanza ni lazima aandike hakuna namna, ila akiwa mzuri katika namna ya kuipromote atapata tu raia maana mimi mpaka leo sikuwa najua kama kuna jamiitalk, hii inaonyesha kiasi gani amefeli kweye kuitangaza.Jamaa nyuzi zote anaandika yeye tu
Ipo Kama Copycate ya Jamiiforums ila ina Good User Experience na User Interface.