Ni lazima aandike yeye maana hana users wengi.Jamaa nyuzi zote anaandika yeye tu
Ipo Kama Copycate ya Jamiiforums ila ina Good User Experience na User Interface.
Nimeiona ipo vizuriBila shaka ni www.jamiitalk.com
Abadili jina, User Interface then Afanye Marketing zaidi Twitter.Kwakua ndo anaanza ni lazima aandike hakuna namna, ila akiwa mzuri katika namna ya kuipromote atapata tu raia maana mimi mpaka leo sikuwa najua kama kuna jamiitalk, hii inaonyesha kiasi gani amefeli kweye kuitangaza.
Kweli maana watumiaji wengi wa Forums hua wapo Twitter hapo labda anaweza kupenyaAbadili jina, User Interface then Afanye Marketing zaidi Twitter.
Kweli maana watumiaji wengi wa Forums hua wapo Twitter hapo labda anaweza kupenyaAbadili jina, User Interface then Afanye Marketing zaidi Twitter.
Hii ni kukandamizia sasaBila shaka ni www.jamiitalk.com
Ameona afanye kudadavuaHii ni kukandamizia sasa