Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Sidhani kama ni kweli...unless una hidden agenda.....una mpango wa kumpa Klorokwin nini?
 
Usimsikilize Kloro mwaya!Anataka kunizeesha mtoto wa watu!
lakini lizzy , ni vyema ukakubali nikakupa mauzoefu. unajua ndoa ni kitu kizito sana. ni bora upite transit kwangu halaf uelekee kwenye ndoa ukiwa fulu maeksperiensi. hata umri wako unaruhusu transit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…