Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

lizzy klorokwini................how does that sound? (nimetumia kiingereza kuonesha msisitizo)

Hehehe!Inapendeza ila staki maana we unafuata umri tu!Nikiongeza kidogo utapotea!
 
Nasikia alikuwa ameweka mzigo kwe sight mirror na kwenye taa za mbele
aliuza mpaka raba za skukuu apate hela ya kula boda kwa boda mpaka sauzi, lakini wahenga walisema "mwali wa maskini hapati posa". jamaa wamemdaka wamesafisha mpaka chewing gum kwenye rasket lake
 
Yaani unaomba nikuPM mbele ya mama watoto?? Mbona hujui kuiba sasa?

ooh thanks....
ngoja ninywe kahawa sasa..kumbe kimeeleweka..
naomba kadi ya mwaliko...ishii..hivi kumbe ni mama watoto?.. naomba kadi ya kubariki
 
karibu miss jukwaa la mahusiano na mapenzi. hapa tunasherehekea lizzy kuwa mchumba rasmi wa klorokwini. mnaombwa michango ya harusi

Asante Klorokwin, ila ngoja mwenywe Lizzy aseme rasmi kama kweli selection imeisha! Ninaweza nikakupa mchango wangu, kumbe wewe si mhusika.
 
Asante Klorokwin, ila ngoja mwenywe Lizzy aseme rasmi kama kweli selection imeisha! Ninaweza nikakupa mchango wangu, kumbe wewe si mhusika.
hehehe ok karib sana. mimi leo siondoki mpaka kuna mdada flani (jina kapuni) anitumie PM
 
dah! haturuhusiwi hata kubeep? khaa! mwanamke ni upendo lizzy, urembo hata farasi anao

Ubeep ya nini kama kupiga haiwezekani?Utanimalizia chaji bure!Hehehe mwanamke urembo wewe!Upendo hata mtoto anao!
 
karibu miss jukwaa la mahusiano na mapenzi. hapa tunasherehekea lizzy kuwa mchumba rasmi wa klorokwini. mnaombwa michango ya harusi

Uwii...Kloro unaenda kanisani bila hata mimi kujua naolewa?
 
Back
Top Bottom