Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

ha ha ha hebu mpe mamy k vifungu vya bible akasome naona shetani anataka kujiinua
Me vifungu na ushauri natoaga kwa wanaume tu, maana wanawake vifungu na makungwi ni tangu ukiwa tumboni akhaa. Amuinamishe tu huyo shetani teh
 
Haha nacheka kama mazuri jamani. Comments zenu zinaharibu weekends za wanaume wengi
Mimi nawashangaa hao wanaomtishatisha eti oooh sijui ndoa yako imefanyaje sijui nini nini- , waaaapi!!

Yaani huyo mama akienda kutiwa huko hatosahau kwa utamu ataoupata na akikutana na mzee wa rough ndio atawehuka kbs na atajilaumu miaka yote kaukosa utamu wa mshedede
 
Utadhani hawachepuki hao wanaume utadhani wanachepuka na wanaume wenzao.....mtumishi niombee ha ha ha
Teh kila mtu ajiombee nafsi yake mwenyewe. Yani wanapohalalisha wanaume kuchepuka sijui wanataka wachepuke wenyewe kwa wenyewe mweeh ntaongea na kinyakyusa mimi
 
Huko kumtisha kuna wanawake wanachepuka na hawajaaxhika hafu kuchepuka kunakufanya upuuze maudhi ya mume na michepuko yake
Sasa mkuu unadhani hao wanaochepuka na hawajaachika hawahatarishi ndoa zao?
 
Kusema za ukweli, wanawake wengi wanachepuka na wachepukaji wa sasa hivi wapo smart katika kufanikisha upumbavu wao. Anatoka, anachepuka, akirudi anatulia huyo, hakuna tena kugombana na mume hata akilala nje week nzima akhaaaa. Utarudi majogoo atakupokea kwa magoti na pambio. Afu mume anayemzingua mkewe kwa ujinga wake atakuwa busy kujisifia "mke wangu amekomaa kiakili, hata nilale nje hajali kabisa". Teh akomae yeye nazi
 
Uzuri siogopi talaka, labda nachofia ni future ya Kids, sitaki wapate malezi ya single parent
Ndoa zinazishikwa na watoto sio ndoa, hata wao watakuwa wanajua kuwa mnajilazimisha tu kuwa pamoja. Kaeni, muongee na kubainisha tatizo na amueni kuanza upya, tangazianeni msamaha na Mungu atawasimamia.

Vv
 
Nina visa viiiingi mno vya nyie wake za watu. Mna mambo sana nyie watu(japo hamjit0mb! ,tunawat0mb@). Mnajituma ile ile
 
Ilitokea tu nikamkubali mtu mtaani
Nikajifanya nunda nikamtafuta
Tukaelewana, Ile siku tunaenda kufanya yetu natoka mlangoni Mr huyu hapa

Usiulize kilifata nini!
Mlikuwa mshafanya yenu tyr lakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…