Na huu ndo ukweli wenyewe kuliko kukaa kugombana na mtu na kupata ugonjwa wa moyo nini? Wengi wako very smart mno, na mwanaume akiona mkewe haangaiki nawe kugombana ajue hapo ana msaidiziKusema za ukweli, wanawake wengi wanachepuka na wachepukaji wa sasa hivi wapo smart. Anatoka, anachepuka, akirudi anatulia huyo, hakuna tena kugombana na mume hata akilala nje week nzima akhaaaa. Utarudi majogoo atakupokea kwa magoti na pambio. Afu mume anayemzingua mkewe kwa ujinga wake atakuwa busy kujisifia "mke wangu amekomaa kiakili, hata nilale nje hajali kabisa". Teh akomae yeye nazi
Eeeh nimesikia wanawake nao wanasema eti "michepuko inaponya ndoa" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]Nina visa viiiingi mno vya nyie wake za watu. Mna mambo sana nyie watu(japo hamjit0mb! ,tunawat0mb@). Mnajituma ile ile
Hama mtaa au mjulishe mume wako ili muandae strategies za kuepuka kuchepuka.Sijawahi, naogopaa...ila nafsi haielewi.
99% correct!Eeeh nimesikia wanawake nao wanasema eti "michepuko inaponya ndoa" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]
wote tunahatarisha ndoa ila mwanamke una nafasi kubwa saana ya kuhatarisha ndoa yako.Sasa mbona mama akitafta faraja pembeni mnamtisha ooh kuachika cjui nini wanaume ndo hamuatarishi eeh
Yani wanaume ni wabinafsi mno wake zao hujituma kwa familia then wao wanachepuka wanasingizia eti uvivu wa wanawake, Leo humu wote wana uchungu na wacha Mungu.Haki kuchapiwa kunauma, yani usiposoma vizuri unaweza ukahisi upo jukwaa la dini, kumbe MMU [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Exactly!
Nyie humu Leo mumekuwa baba paroko atii!!😀 😀 😀
You said it allSikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Aahh huwa zinachosha tabia za wanaume am sure una stress na unashindwa kumpotezea..em chepuka kidogo lakini kwa akili na heshima ili uwe unampotezea matendo yake anayokufanyia trust me utarudi na ushuhuda hapa manake atanyooka mwenyewNimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Sasa sio upigwe duduvule huko urudi uanze kumkashifu mumeo ukidundwa mie simoNimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Omba talaka kuliko kufanya ndani ya ndoa. Ukiwa nje ya ndoa utakuwa huru. Ukiwa ndani ya ndoa tegemea mauaji ya kikatili. Either kwako au kwa huyo mwenzako. Lazima mmoja wenu atakufa kifo kibaya... Msitake kuongeza habari kwa polisi kuwa kuna kifo cha kutisha kisa wivu wa mapenzi. acha kabisaaa. Kama umemchoka omba talaka uondoke. Lakini umeshauriwa vya kutosha kama husikii kuna kitu unakitafuta. Na tambua laana hiyo unaipeleka kwenye familia yako na heshima ya familia yako inashuka. Mbaya zaidi wewe unajishushia heshima. Mwisho wa siku utatamani ujiueNimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Si kweli kuchepuka kupo tu haijalishi kuhatarisha ndoa mwanamke anayevumilia mateso hana mbele wala nyuma, pia wanawake huchepuka kisiri mno wewe ka humtimizii mkeo yetu hayo ujue unaliwa si mjini wala vijijiniwote tunahatarisha ndoa ila mwanamke una nafasi kubwa saana ya kuhatarisha ndoa yako.
sababu kuu ni.
-mfumo dume
-namna tunavyoishi ndani ya nyumba zetu
-asili yenu
takwimu zinaonyesha kati ya wanaume kumi wanaochepuka basi 2 uchepukaji wao huathiri na kusababisha ndoa kuvunjika pindi wake wai wagunduapo.
ila kwa wanawake 10 basi 7 kama wanachepuka na kugundulika ndoa zao huvunjika. nikiweza kuupachika hapa utasoma mkuu.
poa mkuu kama unasema sio kweli nayokuambia. uchangiaji mwema.Si kweli kuchepuka kupo tu haijalishi kuhatarisha ndoa mwanamke anayevumilia mateso hana mbele wala nyuma, pia wanawake huchepuka kisiri mno wewe ka humtimizii mkeo yetu hayo ujue unaliwa si mjini wala vijijini
C.c mwenyekiti Evelyn Salt kwa kumbukumbu99% correct!
Nimeshuhudia zaidi ya ndoa tatu na ziko imara kuliko zilivyokuwa mwanzo
Caring ya mwanaume ni kabla hakuto....mba baada ya hapo hakuna kinachofuata zaidi ya kukuona unampa mzigo. Sisi ni wanaume tunajijua...Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Wanaume wanajifanya wao ndo wajuzi wa mambo yani inakera basi tuYani wanaume ni wabinafsi mno wake zao hujituma kwa familia then wao wanachepuka wanasingizia eti uvivu wa wanawake, Leo humu wote wana uchungu na wacha Mungu.
Hata mimi nilihisi kamchoka. Sababu kubwa ya wanawake kuchepuka ni maudhi ya waume zao. Hasa pale wanapoona hawawezi kuyazuia maudhi na kuachana haiwezekaniki.Hataki kunipa talaka - JamiiForums
Kabla ya kurejea kwenye hoja, naomba nikukumbushe.
Bilashaka ulisha mchoka mumeo...tehteehh