Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Kusema za ukweli, wanawake wengi wanachepuka na wachepukaji wa sasa hivi wapo smart. Anatoka, anachepuka, akirudi anatulia huyo, hakuna tena kugombana na mume hata akilala nje week nzima akhaaaa. Utarudi majogoo atakupokea kwa magoti na pambio. Afu mume anayemzingua mkewe kwa ujinga wake atakuwa busy kujisifia "mke wangu amekomaa kiakili, hata nilale nje hajali kabisa". Teh akomae yeye nazi
Na huu ndo ukweli wenyewe kuliko kukaa kugombana na mtu na kupata ugonjwa wa moyo nini? Wengi wako very smart mno, na mwanaume akiona mkewe haangaiki nawe kugombana ajue hapo ana msaidizi
 
Nina visa viiiingi mno vya nyie wake za watu. Mna mambo sana nyie watu(japo hamjit0mb! ,tunawat0mb@). Mnajituma ile ile
Eeeh nimesikia wanawake nao wanasema eti "michepuko inaponya ndoa" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]
 
Sasa mbona mama akitafta faraja pembeni mnamtisha ooh kuachika cjui nini wanaume ndo hamuatarishi eeh
wote tunahatarisha ndoa ila mwanamke una nafasi kubwa saana ya kuhatarisha ndoa yako.

sababu kuu ni.

-mfumo dume
-namna tunavyoishi ndani ya nyumba zetu
-asili yenu

takwimu zinaonyesha kati ya wanaume kumi wanaochepuka basi 2 uchepukaji wao huathiri na kusababisha ndoa kuvunjika pindi wake wai wagunduapo.

ila kwa wanawake 10 basi 7 kama wanachepuka na kugundulika ndoa zao huvunjika. nikiweza kuupachika hapa utasoma mkuu.
 
Haki kuchapiwa kunauma, yani usiposoma vizuri unaweza ukahisi upo jukwaa la dini, kumbe MMU [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Yani wanaume ni wabinafsi mno wake zao hujituma kwa familia then wao wanachepuka wanasingizia eti uvivu wa wanawake, Leo humu wote wana uchungu na wacha Mungu.
 
Nawaoneaga huruma sana walioko kwenye ndoa.

Naamini kabisa idadi ya wake za watu wanaotafunwa nje haiko mbali sana na idadi ya waume wanaochepuka.

Halafu sasa wachepukaji wengine walivyo, huwezi kuwadhania hata kidogo.

I know that for a FACT.

And whenever I say the word ‘FACT’, I mean exactly that.
 
Ukichepuka hutakiwi kuomba ushauri. Maana pindi yatapokukuta hutokuwa na wanaokushauri sana sana utakuwa mwenyew tu. Kwahyo heri ufanye maamuzi binafsi
 
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
You said it all
 
Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Aahh huwa zinachosha tabia za wanaume am sure una stress na unashindwa kumpotezea..em chepuka kidogo lakini kwa akili na heshima ili uwe unampotezea matendo yake anayokufanyia trust me utarudi na ushuhuda hapa manake atanyooka mwenyew
 
Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Sasa sio upigwe duduvule huko urudi uanze kumkashifu mumeo ukidundwa mie simo
 
Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Omba talaka kuliko kufanya ndani ya ndoa. Ukiwa nje ya ndoa utakuwa huru. Ukiwa ndani ya ndoa tegemea mauaji ya kikatili. Either kwako au kwa huyo mwenzako. Lazima mmoja wenu atakufa kifo kibaya... Msitake kuongeza habari kwa polisi kuwa kuna kifo cha kutisha kisa wivu wa mapenzi. acha kabisaaa. Kama umemchoka omba talaka uondoke. Lakini umeshauriwa vya kutosha kama husikii kuna kitu unakitafuta. Na tambua laana hiyo unaipeleka kwenye familia yako na heshima ya familia yako inashuka. Mbaya zaidi wewe unajishushia heshima. Mwisho wa siku utatamani ujiue
 
wote tunahatarisha ndoa ila mwanamke una nafasi kubwa saana ya kuhatarisha ndoa yako.

sababu kuu ni.

-mfumo dume
-namna tunavyoishi ndani ya nyumba zetu
-asili yenu

takwimu zinaonyesha kati ya wanaume kumi wanaochepuka basi 2 uchepukaji wao huathiri na kusababisha ndoa kuvunjika pindi wake wai wagunduapo.

ila kwa wanawake 10 basi 7 kama wanachepuka na kugundulika ndoa zao huvunjika. nikiweza kuupachika hapa utasoma mkuu.
Si kweli kuchepuka kupo tu haijalishi kuhatarisha ndoa mwanamke anayevumilia mateso hana mbele wala nyuma, pia wanawake huchepuka kisiri mno wewe ka humtimizii mkeo yetu hayo ujue unaliwa si mjini wala vijijini
 
poa mkuu kama unasema sio kweli nayokuambia. uchangiaji mwema.
 
Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Caring ya mwanaume ni kabla hakuto....mba baada ya hapo hakuna kinachofuata zaidi ya kukuona unampa mzigo. Sisi ni wanaume tunajijua...
 
Yani wanaume ni wabinafsi mno wake zao hujituma kwa familia then wao wanachepuka wanasingizia eti uvivu wa wanawake, Leo humu wote wana uchungu na wacha Mungu.
Wanaume wanajifanya wao ndo wajuzi wa mambo yani inakera basi tu
 
Hataki kunipa talaka - JamiiForums

Kabla ya kurejea kwenye hoja, naomba nikukumbushe.
Bilashaka ulisha mchoka mumeo...tehteehh
Hata mimi nilihisi kamchoka. Sababu kubwa ya wanawake kuchepuka ni maudhi ya waume zao. Hasa pale wanapoona hawawezi kuyazuia maudhi na kuachana haiwezekaniki.
Ila kwanini kijana wa mtaani? Hayo ni maamuzi ya mke aliyetendwa kuamua kuamua kumdhalilisha mume.
 
Back
Top Bottom