- Thread starter
- #21
Hakuna cha ajabu!
Kwanza mimi wake za watu wananipendaga...
Na mimi nawapendaga kwa sababu hawanaga usumbufu kivile.
Wakijaga nawatafunaga tu maana hakunaga namna.
Mbona ulistuka vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha ajabu!
Kwanza mimi wake za watu wananipendaga...
Na mimi nawapendaga kwa sababu hawanaga usumbufu kivile.
Wakijaga nawatafunaga tu maana hakunaga namna.
Hakuna cha ajabu utakachokutana nacho Zaidi ya kujishushia heshima kwa uliyetembea nae na kwa mumeo akijua.
Kutembea nje ya ndoa kwa mwanamke naamini ni kumdhalilisha mumeo. Yule ulitembea nae hatamuheshimu mumeo hata mara moja.
Na utamfanya mumeo ajione si lolote mbele ya jamii. Tujaribu kuwapa heshima zao wanaotupa heshima ya kuwa wake zao.
Labda kwa sababu ndo nimeamka.Mbona ulistuka vile?
Achana na mawazo machafu. Hatuchepuki, we are women busy looking for $$$. Nicheki Telegram @Tzforexlady kwa ajili ya ishu za forex.
Mkuu nimekukubali sana! Hutaki tabu na waja!Hakuna cha ajabu!
Kwanza mimi wake za watu wananipendaga...
Na mimi nawapendaga kwa sababu hawanaga usumbufu kivile.
Wakijaga nawatafunaga tu maana hakunaga namna.
Nimechekaaa aitheeeDon't my dear
Mie nilifumaniwa kwa ujinga kama huo
Nimecheka hapo ulipowaita wababa pia waje kukushauri yani umemwaga chumvi juu ya moto ha ha ha ha hiyo kiboko.
fata moyo wako hapa utakutana na wasafi classic wakupe mahubiri, lakini pia ukishapata hamu ya hivo ni haitulii hadi ufanye.....amua we mwenyewe
Evelyn Salt njoo umpe neno huyu!
CHEPUKA TU ILA TUMIA KINGA NA USIJE MLETEA DHARAU MUME WAKOHabari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri