Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Ukishaachika ndo utajua alikuwa na thamani ipi kwako? We uliolewa ili usifiwe na mmeo? Na kama he is not caring iweje udumu nae miaka 8?Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka