Nataka kuchepuka, njooni mnishauri


Asante dear
 
Sio kila unachotamani lazima ufanye. Endapo utafanyaje jiandae for a life time self insult. Kibaya ni kwamba hutaacha Ukianza na utatafuta hata mchepuko mwingine na mwingine huku dhamira ikikusuta. Kama utakaidi hayo ndio yatajiri(kwa sauti ya Kala Jeremiah)
 
Mimi sio shosty ila nakushauri
Tafiti zinaonesha 82% ya wanawake waliochepuka waliachika na upande wa wanaume 7% tu ndoa ziliyumba. Sasa sijui upande wako utakuwa kwa ile 82% ambao baada ya kugundulika waliachika au utakuwa upande salama wa 18% asilimia
 
Nimecheka hapo ulipowaita wababa pia waje kukushauri yani umemwaga chumvi juu ya moto ha ha ha ha hiyo kiboko.
fata moyo wako hapa utakutana na wasafi classic wakupe mahubiri, lakini pia ukishapata hamu ya hivo ni haitulii hadi ufanye.....amua we mwenyewe
 

Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
 
Toa pochi manyoya hilo litafunwe kitaa..
Maana kama ulishaamua unataka kutafunwa ushauri unaomba wa nini??
 
CHEPUKA TU ILA TUMIA KINGA NA USIJE MLETEA DHARAU MUME WAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…