Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Hapo ulipofikia hakuna cha kukuzuia kuchepuka hakuna!!!!!kafanywe tu ila heshima ibaki pale pale
 
Kwa hiyo sie tunachepuka na nani kama nyie sio utamaduni wenu?[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Ushauri wa kuchepuka!![emoji134] [emoji134]! Hapana. Badala yake chagua kutulia kwenye ndoa yako, utaendelea kupata amani nafsini mwako.
 
Unaenda kuliwa 0713 hakika.
 
CHEPUKA TU ILA TUMIA KINGA NA USIJE MLETEA DHARAU MUME WAKO
Wanawake tukichepuka dharau kwa mume haziepukiki.

Wanaume wanatamani na wanachepuka na yeyote.

Wanawake huwa tunakuwa na watu tunaowapenda na bahati yetu mbaya hatuwezi kupenda wanaume wawili kwa pamoja.

Labda achepuke huku akijiandaa kwa lolote, ikiwemo kuachwa na huyo amayechepuka nae kumuacha abaki na mkewe.


Wanawake huwa hatujiulizi maswali ya msingi ambayo wanaume hujiuliza. Mwanaume akiona umemkubali ukiwa na mumeo basi hata ukiachwa naye anaacha anaamini atafanyiwa vile vile
 

But that’s common sense.

Kama mumeo umemcheat na mimi, nini kitachokuzuia usinicheat na mimi?

Haimaanishi kwamba automatically na huyo mpya utamcheat, ila ni cause for concern.
 
Kama mume yupo mjini hajasafiri usichepuke
Maana ukichepuka utarudi kikwapa chanuka harufu ya mtu mwingine mume atajua tu kaibiwa
Mgoje asafiri ndio uchepuke
 

Ni kweli kuna kero zimepelekea hata niwaze kuchepuka, lakini nimeongea nimechoka, nimeshirikisha watu wazima lakini ndio kwanza naishia kupata kichapo.
Somtimes nafikiria sihaitaji chochote huko mchepukoni, All I need is appreciation, someone to appreciate me...to appreciate my beuty, sex...basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…