Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Hapo ulipofikia hakuna cha kukuzuia kuchepuka hakuna!!!!!kafanywe tu ila heshima ibaki pale pale
 
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali uimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Kwa hiyo sie tunachepuka na nani kama nyie sio utamaduni wenu?[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Ushauri wa kuchepuka!![emoji134] [emoji134]! Hapana. Badala yake chagua kutulia kwenye ndoa yako, utaendelea kupata amani nafsini mwako.
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Unaenda kuliwa 0713 hakika.
 
CHEPUKA TU ILA TUMIA KINGA NA USIJE MLETEA DHARAU MUME WAKO
Wanawake tukichepuka dharau kwa mume haziepukiki.

Wanaume wanatamani na wanachepuka na yeyote.

Wanawake huwa tunakuwa na watu tunaowapenda na bahati yetu mbaya hatuwezi kupenda wanaume wawili kwa pamoja.

Labda achepuke huku akijiandaa kwa lolote, ikiwemo kuachwa na huyo amayechepuka nae kumuacha abaki na mkewe.

Wanawake huwa hatujiulizi maswali ya msingi ambayo wanaume hujiuliza. Mwanaume akiona umemkubali ukiwa na mumeo basi hata ukiachwa naye anaacha anaamini atafanyiwa vile vile
 
But that’s common sense.

Kama mumeo umemcheat na mimi, nini kitachokuzuia usinicheat na mimi?

Haimaanishi kwamba automatically na huyo mpya utamcheat, ila ni cause for concern.
 
Kama mume yupo mjini hajasafiri usichepuke
Maana ukichepuka utarudi kikwapa chanuka harufu ya mtu mwingine mume atajua tu kaibiwa
Mgoje asafiri ndio uchepuke
 
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali uimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi

Ni kweli kuna kero zimepelekea hata niwaze kuchepuka, lakini nimeongea nimechoka, nimeshirikisha watu wazima lakini ndio kwanza naishia kupata kichapo.
Somtimes nafikiria sihaitaji chochote huko mchepukoni, All I need is appreciation, someone to appreciate me...to appreciate my beuty, sex...basi tu.
 
Back
Top Bottom