Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Mwanaume akiwa anataka hapo chini kati lazima aoneshe kujali ili apapate, subiri baada ya hapo kama hautajuta, ila we kampe tu kwani itabadilika
 
Acha uzinzi. Imeandikwa usizini! Fikiria siku unafumaniwa na mumeo!!
 
am in love with your brain ,cha ajabu hatokuelewa
 
Hapa ndo napata pich halisi ya nn Huwa kinajadiliwa salun za kike Na wanashauriana nn.yan wanawake wote wanashaur uchepuke????? Ss omba talaka mwambie uyo jamaa akuoe kabisa
 
SAA nyingine kuchepuka ni tiba ukishachepuka tu, utampuuza huyo mumeo hata akuudhi vipi unakuwa na Amani. Follow ur intuition my mom wanaume ni kero mno jipe raha
Ukiona mwanaume ni kero ujue na wewe unamapungufu yako, wengine mkifika kitandani unageukia ukutani, staili zilezile siku ukitaka, unalala umenuna unaamka humsalimii mwenza wako, nguo anapiga pasi mwenyewe. Hapo unategemea utapewa dozi kama zamani muwe mnajiuliza mbona kabla ya kuolewa huwa mnajiachia kwa staili kibao tena wewe ndo unamwambia jamaa akugegedeje,
 
Huo mda wakuchoshana na MTU asiyekupa attention nautoa wapi mkuu nyie hata mfanyiwe vipi huwa hamridhiki ndo kwanza kutafta visingizio kuwa eti tumebweteka, dawa ni kutafta kipoozeo chakubbeleza huko nje
 
Kataa hiyo kitu. Ukichepuka unamkaribisha shetani kwenye ndoa yako.. unampa funguo za kubaribu ndoa yako. Ndoa ikuvunjika au kuparanganyika usimtafite mchawi.
 
Huo mda wakuchoshana na MTU asiyekupa attention nautoa wapi mkuu nyie hata mfanyiwe vipi huwa hamridhiki ndo kwanza kutafta visingizio kuwa eti tumebweteka, dawa ni kutafta kipoozeo chakubbeleza huko nje
Hata ukiwa na kipozeo, kumbuka wakati mumeo anakutongoza ulimuangaisha sana hadi Mara ya kwanza mlipoamua kuvuana vyupi, na alipotaka kuoa aliwaza sana amuoe nani wewe ukabahatika kuwa chaguo. Ni zamu yako kumjali kwa sana hadi akushangae na awasahau wa huko nje, we unakaa siku nzima hata SMS ya mahaba hutumi husemi hata unavyojisia kama unanyege unamwambia mapema ili na yeye ajiandae aondoe stress za kazi mapema siyo unakaa kimya ongea ikibidi toa chozi
 
Uko vizuri kumbe amu:
 
Duuh wadada mkiamua kumbe mna maushauri ya maana hivi, Mwenyezi Mungu awajalie muolewe wote na kisha mdumu ktk ndoa zenu
 
Reactions: Luv
Kuolewa au kuhangaishana kuko kwenye mapenzi sasa wengi wanaume mkijaliwa ndo huwanyanyasa wanawake vibaya, ujue nyie ndo hufanya wanawake waanze uovu, mfano mama analea humsaidii unataka akupe attention kabla ya kuwa na mtoto. Mapenzi ni ya wawili jamani bila hivo michepuko haiepukiki
 
Wee sema umechoka ndoa, siku zako za kuwa ndoani zinahesabika, soon utakuwa single mum
 
Uko vizuri kumbe amu:
aaaaa wanakuambia if you are in Rome act like Romans ndivo nilivo huwa naenda na flow kuna post zingine huwa hazihitaji hata maandishi mengi na kutuliza kichwa ila kuna zingine unaandika umetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…