Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Ukimsoma vizuri mleta mada aliponijibu ni kuwa yeye amekosa upendo kwa mumewe

mweee...mie nashangaaga sana watu wanasema upendo...ishu ni mgegedo bwana. kuna mwanamke hapa duniani atakubali kuolewa na njemba ambaye hagegedi kisa upendo?
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Dah....ni upumbavu wa hali ya juu kwa mwanamke kuchepuka bila SABABU ya msingi,..[emoji13]
 
Best mimi na wewe hatuwezi kufikia muafaka mgegedo bila upendo sijui niitaje
mweee...mie nashangaaga sana watu wanasema upendo...ishu ni mgegedo bwana. kuna mwanamke hapa duniani atakubali kuolewa na njemba ambaye hagegedi kisa upendo?
 
MWANAMKE WEKA AKILI YAKO KATIKA MAENDELEO YA WATOTO WAKO NA NCHI YAKO, achana na ujinga huo ni LAANA KUU!
Focus!
That’s all
 
Bado upo nae??? Dah wewe ndo mabwege tunaosemaga siku zote. Huwa natamanill sana zinikute,, kizuri ni kuwa nishamwambia wife... Akitaka kutombwa nje ahakikishe tumeachana ndipo akatombwe vinginevyo hiiiiiiiiiiiiiii...... Kwahiyo nipo safi
Aisee kweli mimi bwege...siwezi kufanya hiiiiiiiiiiiiii...basi wewe mwanaume wa ukweli kama mkeo hatoki nje ya ndoa hongera sana...
 
Wanaume wote wana michepuko nje....na imewakamata kwelikweli....usije jihangaisha na mwanaume hata siku moja!

Wee liwa sema kwa siri
No, big NO!

Mbona Mimi sina mchepuko na sijapata sababu ya kuchepuka?

Hayo masuala ya michepuko ni imani mbovu kama yako, una-generalize concepts za ajabu kama hizo na unachukua maamuzi ati kwa kuwa wanaume wote wana michepuko!

Vv
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Hakikisha una solution ya worse scenario kama utafumaniwa au mmeo akijua, fikiria hatima yako na watoto wako. Kama ukiona upo tayari kuzibeba hizo gharama basi endelea.
 
Angalia hao watoto wanavyompenda Baba yao, angalia gharama ya dhambi, tafuta vivid example za watu waliofumaniwa, WOTE WANAJUTAGA. ukiona una nguvu ya ku CHEAT, go enjoy yourself,...
wachache hawajuti, kama aliyekuwa mke wangu...
 
Wanaume wa JF wote watakatifu, sikutegemea kama ningewatoa watu povu lote hili.
Poor conclusion. Lkn itoshe kujua kuwa ingawa wanajamii (mmoja mmoja) kila mtu kivyake, hata kama wanafanya yasiyopaswa lkn wanajua mtazamo wa jamii juu ya jambo fulani uko hivi au vile.

Vv
 
Miaka 8,yote leo umegundua mumeo hakujari na hakuskilizi? Kama kweli hukuwahi kuchepuka for 8 years unakamatwa siku moja tu,uwe umejiandaa kuachika na kwenda kuanza maisha mapya.
 
Andaa mazingira mazuri ya kujifanya unasafr na yy hivyo hivyo mkutane huko mfanye yenuu mpaka basi au Kama unafanya Kazi na Jumamosi huend kazini mwambie mumeo baba kesho nitakwenda kazini kumalizia kiporo changu flan hv basi unajiondokea zako mnakutana huko mnadinyana wenyewe mpaka basi ukirudi nyumbani Mwepesi.

Aliyekuwa mke wangu alisema anaenda kwenye kikao cha C.W.T akadinywa anliporudi hawezi hatkuniangalia usoni anaangalia chini au pembeni nikajifanya sijajua...
 
Ni kweli kuna kero zimepelekea hata niwaze kuchepuka, lakini nimeongea nimechoka, nimeshirikisha watu wazima lakini ndio kwanza naishia kupata kichapo.
Somtimes nafikiria sihaitaji chochote huko mchepukoni, All I need is appreciation, someone to appreciate me...to appreciate my beuty, sex...basi tu.
Umevumilia kwa muda gani hizo kero,au umeanza kuziona baada ya kuvutiwa na kijana wa mtaani?
Miaka 8 si haba fikiria ni wapi umeanguka kisha inuka ukatubu
 
MWANAMKE WEKA AKILI YAKO KATIKA MAENDELEO YA WATOTO WAKO NA NCHI YAKO, achana na ujinga huo ni LAANA KUU!
Focus!
That’s all
unaonekana ni MZALENDO kwelikweli wewe...kwa kweli...nimeona ubongo wako ni wa kizalendo
 
Aliyekuwa mke wangu alisema anaenda kwenye kikao cha C.W.T akadinywa anliporudi hawezi hatkuniangalia usoni anaangalia chini au pembeni nikajifanya sijajua...
Umesema "aliyekua" ina maana mshaachana? Sababu ilikua hiyo au?
 
Back
Top Bottom