Ukimsoma vizuri mleta mada aliponijibu ni kuwa yeye amekosa upendo kwa mumewe
mweee...mie nashangaaga sana watu wanasema upendo...ishu ni mgegedo bwana. kuna mwanamke hapa duniani atakubali kuolewa na njemba ambaye hagegedi kisa upendo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimsoma vizuri mleta mada aliponijibu ni kuwa yeye amekosa upendo kwa mumewe
Dah....ni upumbavu wa hali ya juu kwa mwanamke kuchepuka bila SABABU ya msingi,..[emoji13]Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
mweee...mie nashangaaga sana watu wanasema upendo...ishu ni mgegedo bwana. kuna mwanamke hapa duniani atakubali kuolewa na njemba ambaye hagegedi kisa upendo?
aisee napata tabu saaana!! Mwaache ashine 2...Ahhaa hivi wewe ndo ulimuacha mkeo afu huko alipo anashine hadi wewe unapata tabu sana, au?
Aisee kweli mimi bwege...siwezi kufanya hiiiiiiiiiiiiii...basi wewe mwanaume wa ukweli kama mkeo hatoki nje ya ndoa hongera sana...Bado upo nae??? Dah wewe ndo mabwege tunaosemaga siku zote. Huwa natamanill sana zinikute,, kizuri ni kuwa nishamwambia wife... Akitaka kutombwa nje ahakikishe tumeachana ndipo akatombwe vinginevyo hiiiiiiiiiiiiiii...... Kwahiyo nipo safi
MWANAMKE WEKA AKILI YAKO KATIKA MAENDELEO YA WATOTO WAKO NA NCHI YAKO, achana na ujinga huo ni LAANA KUU!
Focus!
That’s all
No, big NO!Wanaume wote wana michepuko nje....na imewakamata kwelikweli....usije jihangaisha na mwanaume hata siku moja!
Wee liwa sema kwa siri
Hakikisha una solution ya worse scenario kama utafumaniwa au mmeo akijua, fikiria hatima yako na watoto wako. Kama ukiona upo tayari kuzibeba hizo gharama basi endelea.Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
wachache hawajuti, kama aliyekuwa mke wangu...Angalia hao watoto wanavyompenda Baba yao, angalia gharama ya dhambi, tafuta vivid example za watu waliofumaniwa, WOTE WANAJUTAGA. ukiona una nguvu ya ku CHEAT, go enjoy yourself,...
Poor conclusion. Lkn itoshe kujua kuwa ingawa wanajamii (mmoja mmoja) kila mtu kivyake, hata kama wanafanya yasiyopaswa lkn wanajua mtazamo wa jamii juu ya jambo fulani uko hivi au vile.Wanaume wa JF wote watakatifu, sikutegemea kama ningewatoa watu povu lote hili.
Andaa mazingira mazuri ya kujifanya unasafr na yy hivyo hivyo mkutane huko mfanye yenuu mpaka basi au Kama unafanya Kazi na Jumamosi huend kazini mwambie mumeo baba kesho nitakwenda kazini kumalizia kiporo changu flan hv basi unajiondokea zako mnakutana huko mnadinyana wenyewe mpaka basi ukirudi nyumbani Mwepesi.
Umevumilia kwa muda gani hizo kero,au umeanza kuziona baada ya kuvutiwa na kijana wa mtaani?Ni kweli kuna kero zimepelekea hata niwaze kuchepuka, lakini nimeongea nimechoka, nimeshirikisha watu wazima lakini ndio kwanza naishia kupata kichapo.
Somtimes nafikiria sihaitaji chochote huko mchepukoni, All I need is appreciation, someone to appreciate me...to appreciate my beuty, sex...basi tu.
unaonekana ni MZALENDO kwelikweli wewe...kwa kweli...nimeona ubongo wako ni wa kizalendoMWANAMKE WEKA AKILI YAKO KATIKA MAENDELEO YA WATOTO WAKO NA NCHI YAKO, achana na ujinga huo ni LAANA KUU!
Focus!
That’s all
Umesema "aliyekua" ina maana mshaachana? Sababu ilikua hiyo au?Aliyekuwa mke wangu alisema anaenda kwenye kikao cha C.W.T akadinywa anliporudi hawezi hatkuniangalia usoni anaangalia chini au pembeni nikajifanya sijajua...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]wamajazana upepo tu hapa hawana lolote
NakaziaNimekupenda bure ww ni rafiki mzuri sana hupindishi neno wala humpotezi mtu...kwa ushauri huu uliotoa naomba uwe rafiki yangu.
Talaka siku nyingi...sababu si malaya au?Umesema "aliyekua" ina maana mshaachana? Sababu ilikua hiyo au?
Malaya sababu alichepuka hiyo mara moja uliyojua au ilikua tabia yake?Talaka siku nyingi...sababu si malaya au?