malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habar wakuu,
Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn.
Natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani wamita50.
Kati ya DAHUA na HIK VISSION ipi saafi