Nataka kufunga CCTV camera ya mfumo camera16

Nataka kufunga CCTV camera ya mfumo camera16

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu,

Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn.

Natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani wamita50.

Kati ya DAHUA na HIK VISSION ipi saafi
 
Habar wakuu naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn...natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani wamita50....kati ya DAHUA na HIK VISSIOn ipi saafi
Iyo iyo mkuu safi
 
sa si uite fundi mkuu mbona unakua mnoko hivo au unataka ufunge mwenyewe ...? unataka kufunga ip camera au analogy...?
 
Habar wakuu,

Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn.

Natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani wamita50.

Kati ya DAHUA na HIK VISSION ipi saafi
Nitafute nikuelekeze
 
Back
Top Bottom