Nataka kufungua kijiwe cha kitimoto pembezoni mwa barabara. Je, wazo hili ni sahihi?

Nataka kufungua kijiwe cha kitimoto pembezoni mwa barabara. Je, wazo hili ni sahihi?

Mi takuja kupiga mtu humu ndani..

Kweli mnanitag kwenye uzi wa kula kitimoto jamni serious...

Mnataka nife hasira au... Nyie mna mambo ya ajabu sana aiseeee

Huu uzi mi tachangia nini mnataka niwe kafiri kama nyie..

Mimi sijapenda sijapenda aiseeee takuja pigana na mtu humu aiseeee
 
HAKUNA KUSAIDIWA MAWAZO KWA MAMBO YA KIKAFIRI HAPA...
ACHENI UKAFIRI WENU HAPA ALAAAH
 
Hakuna sheria inayokataza mtanzania kula au kupika anachokipenda ali mradi hicho kipikwacho sio haramu.

Nguruwe ameharamishwa kwenye baadhi ya imani wakiwamo wakristo baadhi na waislam baadhi ila sio kwa kila mtu ni haramu.

So zingatia usafi, mazingira mazuri ya wateja kununua bidhaa adimu na kula katika mazingira ya usafi.
 
Wakuu nimenunua eneo la biashara mji X na lipo pembezoni mwa barabara nzuri tu, moja ya biashara nayotaka kufanya eneo hilo ni kuweka kibanda cha kisasa cha nyama ya kitimoto.

Sasa najiuliza Je, nitakuwa nimevunja sheria yoyote kwa kufanya hivyo ikiwa watakaokuwa wanapita eneo hilo ni ndugu zangu waislam na wale wakristu wenye misimamo mikali?

NAOMBA MNISAIDIE MAWAZO kama kuna utaratibu wowote wa kufuata kama nataka kuweka kijiwe cha kitimoto sehemu ya wazi.

Ntashukuru kwa michango yenu.
Tz fanya unaloweza
 
Licha ya kwamba hakuna Sheria ya moja kwa moja ila Watanzania tunaishi kwa kustahimiliana. Kikubwa angalia aina ya jamii katika eneo ulilopo ili walau ujaribu kufanya jambo kwa namna ambavyo ni bora. Kwa maeneo ya majiji naona suala la kitimoto sio inshu, hata pale Micasa inaouzwa barabarani kabisa. Hivyo, soma mazingira ya eneo ulilopo na uamue kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom