Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

Shukrani sana kiongozi.
 
Mauzo yalikuaje? Maana msingi mkuu wa biashara ni mauzo
 
Mauzo yalikuaje? Maana msingi mkuu wa biashara ni mauzo
Sehemu nlizokuwa nasupply kunapeanut inaitwa veo imekamata sana. Ila ile peanut yangu yenye ladha ya chocolate ilikuwa inatoka sana kila aliyeipeleka nyumban watoto waliipenda so order zilikuwa nyingi nyingi kidogo. Kasheshe ni pale karanga zinapopanda bei kama hulimi au huna stock hapo ndipo biashara ilikuwa hailet faida maana unakuta bei inabaki ile ile wakat karanga zimepanda ukisema upandishe wenzako bei inabaki pale pale so changamoto.
Sema pia ukiwa na watu wanajua marketing unauza zaidi
 
Wazo zuri sana brother, I appriciate your contribution.. sema you know what.. nataka kujifunza zaidi kumiliki production line.. not a trading business, naamini sana katika kuzalisha bidhaa mwenyewe maana inanipa access ya kucontrol soko.. kuanzia bei, faida, ubora, supply n.k... so far, my thoughts never allow me to think that i will ever sell someone else's product anymore, i need mine now!! I need to think like a top player.
 
Brother dm me your number please.. tuongee vizuri,
 
Ulikua unatengeneza peanut za ukubwa gani na peanut butter moja kwa makadirio ilikua inakugharimu bei gani kuitengeneza kuanzia ikiwa karanga hadi packaging
 
anza kwa kununua kwa wazalishaji wa peanut butter kwa bei ya jumla, alafu kauze rejareja. Utapita picha halisi ya soko lilivyo, malalamiko, wateja wanataka nini, n.k kabla hujatia mguu kuzalisha bidhaa yako
Wazo zuri sana brother, I appriciate your contribution.. sema you know what.. nataka kujifunza zaidi kumiliki production line.. not a trading business, naamini sana katika kuzalisha bidhaa mwenyewe maana inanipa access ya kucontrol soko.. kuanzia bei, faida, ubora, supply n.k... so far, my thoughts never allow me to think that i will ever sell someone else's product anymore, i need mine now!! I need to think like a top player
 
Market share yako usha calculate?
 
Butter brand zimejaaa sana, ni biashara rahisi ambayo kila mtu anaikimbilia, mashine zimejaaa kuanzia SIDO hadi za China. Ukisha ona Biashara ambayo mitambo yake imezagaa mtaaani ogopa sana hio biashara.

SIDO kila baada ya miezi kadhaaa utawasikia mafunzo ya kuzalisha Penat Bata, ukisha ona unadili na vitu ambayo daily kuna mafunzo ya kuvitengeneza basi huko siko kabisa.

Pita super Markt zote kubwa kubwa angakia brand, utajifunza jambo. Pia utokaji wake.

Ukielewana na muuzaji wa
Suprrmarket au maduka makubwa muulize utokaji wake ukoje,Pia
tambua Blueband,na hizi jam ni close sabstute ya Penati, na familia nyingi sana zina prefer Blueband na Jam,Hata hoteli kubwa wakati wa Break fastJam na Blueband wanatumia.
 
Ni biashara ngumu sana ambayo itakulazimu utafute vijana wa kutembeza mitaani,Kwenye Supermarket Brand ni nyingi sana na hazitoki kwa speed.

Wengi huishia kuanza kuzungusha mtaani,
 
Ni biashara ngumu sana ambayo itakulazimu utafute vijana wa kutembeza mitaani,Kwenye Supermarket Brand ni nyingi sana na hazitoki kwa speed.

Wengi huishia kuanza kuzungusha mtaani,
Uhalisia uko hivi ila nadhani hizi jam na blue band ni kwasababu zilianza kuzagaa mtaani mapema na watu wakazipenda hivyo hata uzalishaji wa hizi peanut butter ukiwa mkubwa na zikazagaa mtaani kwa bei rahisi na kupata promo ya uhakika watu watabadilika
 
Umeandika point sana mkuu, inshort ni kwamba soko la peanut sio kubwa kama la blueband, na sio kwamba matumizi ya bluband ni bora kuliko peanut.. ila blueband ina media time yakutosha ..saiz wizara ya afya kipaumbele chao ni kupambana na magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari, hypertension, Hyperlipidemia, Heart diseases, Strock n.k.. Hii ni kutokana na kwamba magonjwa haya yamekua tishio kuliko hata HIV na Malaria in recent yrs.. na ukiangalia vyanzo vya haya magonjwa ni matumizi makubwa ya sukari, wanga, bad cholesterol kama mafuta yatokanayo na wanyama n.k na ukitizama kwa umakini utagundua jam na blueband zote zinaangukia kwenye kundi la vyakula changizi au sababishi vya magonjwa yasiyo ambukiza... Kwahivyo kwa jamii au familia yenye kuhitaji afya bora peanut butter ni chaguo sahihi.. siagi ya karanga haina wanga wala unwanted bad cholesterol kwa mgonjwa wa sukari ni chaguo sahihi na matumizi yake hayahatarishi maisha yake ukilinganisha na akitumia jamu.. sasa jamii haitambui hili hivyo inahitaji effective marketing kubadilisha mitazamo ya familia nyingi.
 
K
Kwanini unaziuza boss?
 
Ni idea nzuri ila uifanye kama side hustle kwa kuanzia coz ni bidhaa inayotoka taratibu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…