Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

Zisiwe na mchanga mchanga tu, ukiweza mix na tende alafu iite Mkuu. Kwenye branding weka picha ya mwanaume miraba minne alafu sasa Piga promo kuwa zinaongeza nguvu za kiume.

Hapo kuuzani 100%

Ukiona hiyo ni jau, izo karanga mix na flavour yoyote inayopendwa na wadada, alafu iite Mrembo. Branding weka picha ya mdada mwenye hips zake. Sasa promo sema inaongeza shepu na ni special kwa wanawake.

Utauuzakwa uhakika.

Ukiona sawa fanya vyote vyote si unajua tena mwaka wa ku force huu Mkuu.
Ha ha haaa mkuu umetisha sana na unaonekana upo vzr kwenye marketing strategy!
 
Back
Top Bottom