RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Kama title inavyojieleza nina idea ya kuanzisha kiwanda kidogo cha pombe ila bado sijui costs za kufinance projects na kwa mwenye madini naomba anipatie.
Pia, kama kuna mwenye uzoefu na biashara ya pombe kali kama K-Vant na Konyagi anakaribishwa kumwaga madini, shida yangu nahitaji kujua gharama za chini kabisa, sihitaji legal procedures sana maana nazifahamu nachohitaji ni costs za kufinance project na manufacturing process.