Nataka kufungua kiwanda kidogo cha pombe kali. Utaratibu ukoje?

Wa Wapigaji wengi jamii forums mkuu
 
Hili tatizo hata mimi nimekutana nalo, sisi watz ujanja ujanja mwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulifanikiwa hii kitu?
 
Mkuu vipi ulifanikiwa
 
Hapana aisee iyo ni biashara ya pesa ndefu kidogo na big fish
 
Nalijua hili lakini akiwa smart na ana bahati atapita.
Siku hizi Ni akili tu.

Muhimu anzia Ofisi ya Afisa Afya Wilaya/Manispaa na SIDO utafanya kazi kwa amani.

Zamani kulikuwa na figisu sana TBS ioa ukianzia huko chini inakuwa rahisi.

Mfano, huyu ni brew mpya wa mtu wa chini kabisa tena kwa mtaji mdogo sana. Lakini hapa anasubiri nembo tu, bidhaa zake aingie sokoni.
 

Attachments

  • Polish_20220524_061311319.jpg
    556.2 KB · Views: 133
Muanzisha Uzi ulifanikiwa nataka uzoefu wao nami nifungue kiwanda kidogo nipo najenga jengo dogo la kiwanda kwa ajili ya uzalishaji kwanza kwa maelekezo ya Sido maeneo ya Mwandege, vipi ulifanikiwa kufungua chako?
 
Muanzisha Uzi ulifanikiwa nataka uzoefu wao nami nifungue kiwanda kidogo nipo najenga jengo dogo la kiwanda kwa ajili ya uzalishaji kwanza kwa maelekezo ya Sido maeneo ya Mwandege, vipi ulifanikiwa kufungua chako?
Aliwahi kukataa kuwa kawaachia big fishes ye imemshinda.

Lakini hii kitu ya kuzalisha spirit naifikiriagaaa, naishia kupanga tu kwa sasa
 
Usioneshe unauliza swali alafu unajifanya mjuaji.
 
Kuna gari imepita hapa imeandikwa


if your good on something never do it for free

Upande wako unatoa ushaur ye anahitaj ujuz wake ulipiwe sio kosa.
 
Kuna gari imepita hapa imeandikwa


if your good on something never do it for free

Upande wako unatoa ushaur ye anahitaj ujuz wake ulipiwe sio kosa.
Kuna wakati nlikuwa nafanya shughuli fulani. Nilikuwa naandika na kutoa ushauri bure. Jambo hili lilifanya watu waniamini aisee nilikuwa napata kazi si kiddogo. Watu waliamini ninajua sana.
 
Kumaanisha kwamba hata kwa mtaji mdogo huwezi anza?

Hao big fish figisu zao ni zipi?

#MaendeleoHayanaChama
Usijali Mimi ni mtaalam wa mashine za kuchuja maji filling na blending za pombe Kali Kwa hiyo usijali nitakupa mashine na kukusaidia kupata vibali vyote contact namba 0673315821.
 

Attachments

  • IMG_20240712_145514_019.jpg
    2.2 MB · Views: 29
  • IMG_20240405_104646_535.jpg
    4.2 MB · Views: 32
  • IMG_20240712_145432_126.jpg
    2.2 MB · Views: 32
  • IMG_20240405_104646_535.jpg
    4.2 MB · Views: 31
  • Screenshot_20240620-113924.jpg
    424.4 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…