Nataka kughairi kufunga ndoa, zimebaki week 3. Nifanye nini kutimiza azma yangu?

Nataka kughairi kufunga ndoa, zimebaki week 3. Nifanye nini kutimiza azma yangu?

Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.

Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!

Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!

Naombeni ushauri wenu katika suala hili.
Kila kitu kina sababu, hakuna kinachotokea chenyewe tu. Hebu weka wazi sababu za wewe kufikiria hivyo, pengine tunaweza kuwa na msaada mzuri kwako.
 
Hiyo ni Hofu.
Unaonekana hupendi mambo ya kukaa mbele za watu, unaaibu
Au huenda unahofia kuwa Harusi yenu haitakuwa nzuri, yaani unahisi mtatia aibu.

Funga Ndoa Acha woga
 
Mmmh ulipofikia ni hatua ngumu sana kuikimbia.

Beba msalaba wako.
 
Mkuu, nadhani mpaka nimefikia hatua hyo unajua Mimi sio mtoto , Wala kavulana, bali Ni kidume!

Shda syo hiyo, shida Ni kwamba kadri muda unavyoenda kielekea tarehe husika nasikia uzito kias kwamba najiuliza Kuna Nini huko mbele ya safar?! Kitu kinachonipelekea nitafute mbni za kujinasua
Wewe ushamla kimasihara bint wa watu baada ya kumtangazia ndoa.

Nitumie namba ya Bi Harusi mtarajiwa inbobo kwa minajili ya ombi lako. Fanza hima asije akakutupia KIJINI MPAPATIKO
 
Kama upo Dar nije nikuteke ila utanilipa
 
Umepigiwa stori za nyuma za shemeji nini?
 
Kwanini? Maana wengine tumeolewa na tuna watoto .
Utamaduni wa watu wa pwani wanawake hawafanyiwi hiko kitu..ndy maana aliachana na huyo mdada,alisema mwanamke hasikii radha yoyote wakati wa kula mzigo
 
Utamaduni wa watu wa pwani wanawake hawafanyiwi hiko kitu..ndy maana aliachana na huyo mdada,alisema mwanamke hasikii radha yoyote wakati wa kula mzigo
Basi kamwqmbie hivi kuna mmoja nmekutana nae anasema anaskia raha akiliwa mpaka anataman mumewe asiwe anaenda kazini hahah.
 
Kama huna biashara zinohitaji uwepo wako we umwa hata miezi miwili wakikupa dawa unatupa baada ya hapo ni mwendo wa kuwazungusha tu mpka wakome
 
Mnaofunga NDOA Huwa mnatafuta Nini!!?cheti?baraka za Mungu au wazazi!!?au kitu GANI mbona mi sielewi!!?

Warumi hasa wakatoliki Binadamu HATARI Sana!!

Yaani unahisi kupungukiwa nini hasa!!? Kama watoto unapata mapenzi yapo unapata!!yaani presha ZOTE za Nini!?kama ni cheti cha NDOA sio passport ya kwenda mbinguni !ni nini hasa kama warumi waliamua kila tukio la kijamii liwe la kukusanya kodi KWA kuiandaa vyeti kama cheti cha toba,ubatizo,NDOA,elimu,na vinginevyo unashindwaje kuelekea Hadi muwe mateka HIVI!!

BINAFSI SINA MPANGO,SIHISI KUPUNGUKIWA WALA SITAMANI WALA KUONA GERE KUWA MATEKA WA SHERIA ZA KIRUMI ZA KIKATOLIKI AMBAZO SERIKALI WALIAMUA KUZIKUMBATIA ILI WAZOE MAPATO YA VYETI!!HUU UTUMWA NI MBAYA SANA!!

KUWENI HURU NDUGU ZANGU !!YAANI MMESHAFANYA NDOA MARA NYINGI ETI HIYO NDOA NI ZINAA HADI IPATE CHETI CHA KIRUMI NA SHEREHE NA MAPOCHOPOCHO NDIO ETI INAKUWA HALALI SIO!!?

HUU UPUMBAVU WA KIHISTORIA UANAWATESA SANA WATU WEUSI KWA KIGEZO CHA DINI NA UJINGA MWINGINE KIBAO!!

NAISHIA HAPA;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani sasa iwe Katiba mpya"!
 
Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.

Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!

Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!

Naombeni ushauri wenu katika suala hili.
Una umri gani? Na kipi kinakusukuma kuhisi hujielewi
 
Back
Top Bottom