Nataka kuhamia faculty ya vetenary medicine naomba process za kufanya ili niweze kuhama

Thibitisha!?? BVMna law au business ni wapi wanahitajika katika hii nchi na dunia kwa ujumla?? Kwanin mtu wa bvm ana uhakika wa 100% wakati mtu wa law ni non priority katika loan?? TUMIA USOMI WAKO KUNIJIBU HAYA MASWALI.

kwan kuhamia facult wanatumia vgezo gan?
 

kwan ni vgezo vp wanatumia kuhamia koz hucka
 
dogo upo fit.... kweliii.... au unatania... maana hii kozii si ya kitoto atii... by the waY kama uko na dvs 1 or 2 siku mtakapofungulia chuo nenda admission onana na viongoz then watakupa mlolongo mzma wa kuhamia vet.. ila kwa ushauri wangu sikushauri maana kama ulikuwa mtoto wa chuchuz ndo kwa herii hutakuw na muda wa kupiga nao stry kama ulikuw mtu wa club na pombe utakuw unavisikilizia kwa other peopl... lastly karibu sua " Home of excellence "
 

kgezo cha kuhamia ni kuwa na cut of points wanazoztaka au uwe na dv 1 na 2?
 
Wakati wenzio wanaichagua kama chaguo la kwanza wewe ulikuwa wapi? Acha kupiga mayowe!

c unajua njia ya kuingia kuxoma kaz uipendayo c lazma upitie direct method?xo jkt iliniharibia mipango yangu yote ndo mana
ikanifanya nichague koz ambayo ciitak bt i thank again tcu imenifanya nibadl chuo na kuhamia sua il nikaxome koz ninayoitaka coz cut of points wanazoztaka ninazo ambazo n 3 na o level nimefaul math na englsh..xo unadhan hawatankubal?
 
Watoto wa SMS hawa. BVM utaiweza lugano5
 
Last edited by a moderator:

He naona umekomaa na hii BVM ni mwisho! Hebu hawa jamaa wakupe tuone kama huu mziki utauweza! Mimi nafikri badala ya kukaa mbele ya keyboard na kuanza kujibizana na akina Manjagata hapa, ungekuwa umeshachukua hatua za kwenda SUA kwenyewe na kupata maelekezo mazuri, pengine hizi kelele zingekuwa zimeisha! Kikwetu kuna msemo unasema "Mchuzi wa mbwa hunywewa ungali wa moto - huu usemwe kwa Kisukuma - ingawa huwa hatuli mbwa". Hapo ndo kusema hili jambo liwahi mapema, ukisema usubiri mpaka tuanze wiki ya orientation inaweza kula kwako! Hebu jiulize kwa mfano, wewe labda una div 3 mwenye 2 akawa amejihimu kabla ya kuanza masomo, na nafasi ipo moja, nani kati yenu atachukuliwa? Tatizo lenu .com hamjiulizi maswali mengi mnataka majibu ya mkato tu!
 

Safi sana mkuu nlikua nakungojea uje huku!!!
 

Wazo zuri sana!!
 
Wasikutishie SUA kila kozi ni ngumu, inadepend na ulivyojipanga, hadi diploma ratiba yao ni kama ya Bsc unafanya mchezo na sua wewe
 

ndio kaka hayo yote nimeyafkria xana bt jkt ndo imenifunga kaka bt nitawah mapema nikitoka kwenye hk chombo
 
Wasikutishie SUA kila kozi ni ngumu, inadepend na ulivyojipanga, hadi diploma ratiba yao ni kama ya Bsc unafanya mchezo na sua wewe

nitajpanga na kwa uwezo wa mungu nitatoka tu,my qn iz ll they accept me kuhamia bvm?
 
Daaah!! Mdogo wangu we baki huko hukoo... BVM ni hataree zaidi ya hatareee.. Kama umechaguliwa hyo course basi endeleanayo 2..!! Usithubutu kuigusa... Mwaka jana kuna mtu kajinyonga so kua makini..


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…