ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
kaka nime nimejitoa kuixoma na cwez kufel
Usiseme siwezi kufeli sema ntajitahidi na ntamwomba mungu nsifeli...ile ni sua na sio shule yako ya advance.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka nime nimejitoa kuixoma na cwez kufel
Una div one ya ngap??
Usiseme siwezi kufeli sema ntajitahidi na ntamwomba mungu nsifeli...ile ni sua na sio shule yako ya advance.
Thibitisha!?? BVMna law au business ni wapi wanahitajika katika hii nchi na dunia kwa ujumla?? Kwanin mtu wa bvm ana uhakika wa 100% wakati mtu wa law ni non priority katika loan?? TUMIA USOMI WAKO KUNIJIBU HAYA MASWALI.
Mwaka huu na mwaka jana wamechukua watu zaid ya 70(mwaka jana 100+ na mwaka huu70+) sasa unaposema wapo wachache unamaanisha nini?? Cha msingi jamaa achek kama ana one au two ya mwanzo atapata nafasi na pia anaweza asipate!!! Siku hizi watu wameshtuka na wengi sana hasa wenye ufaulu wa juu wana apply hii kozi!!!
ah ah ah ah ze duduz atakkueleza vizuri...ni kutokana na mziki wa kozi yenyewe mdogo wangu..
kwa hyo kama imejb ndo cwez kuhamia nan kakudanganya
dogo upo fit.... kweliii.... au unatania... maana hii kozii si ya kitoto atii... by the waY kama uko na dvs 1 or 2 siku mtakapofungulia chuo nenda admission onana na viongoz then watakupa mlolongo mzma wa kuhamia vet.. ila kwa ushauri wangu sikushauri maana kama ulikuwa mtoto wa chuchuz ndo kwa herii hutakuw na muda wa kupiga nao stry kama ulikuw mtu wa club na pombe utakuw unavisikilizia kwa other peopl... lastly karibu sua " Home of excellence "
Wakati wenzio wanaichagua kama chaguo la kwanza wewe ulikuwa wapi? Acha kupiga mayowe!
c unajua njia ya kuingia kuxoma kaz uipendayo c lazma upitie direct method?xo jkt iliniharibia mipango yangu yote ndo mana
ikanifanya nichague koz ambayo ciitak bt i thank again tcu imenifanya nibadl chuo na kuhamia sua il nikaxome koz ninayoitaka coz cut of points wanazoztaka ninazo ambazo n 3 na o level nimefaul math na englsh..xo unadhan hawatankubal?
dogo upo fit.... kweliii.... au unatania... maana hii kozii si ya kitoto atii... by the waY kama uko na dvs 1 or 2 siku mtakapofungulia chuo nenda admission onana na viongoz then watakupa mlolongo mzma wa kuhamia vet.. ila kwa ushauri wangu sikushauri maana kama ulikuwa mtoto wa chuchuz ndo kwa herii hutakuw na muda wa kupiga nao stry kama ulikuw mtu wa club na pombe utakuw unavisikilizia kwa other peopl... lastly karibu sua " Home of excellence "
He naona umekomaa na hii BVM ni mwisho! Hebu hawa jamaa wakupe tuone kama huu mziki utauweza! Mimi nafikri badala ya kukaa mbele ya keyboard na kuanza kujibizana na akina Manjagata hapa, ungekuwa umeshachukua hatua za kwenda SUA kwenyewe na kupata maelekezo mazuri, pengine hizi kelele zingekuwa zimeisha! Kikwetu kuna msemo unasema "Mchuzi wa mbwa hunywewa ungali wa moto - huu usemwe kwa Kisukuma - ingawa huwa hatuli mbwa". Hapo ndo kusema hili jambo liwahi mapema, ukisema usubiri mpaka tuanze wiki ya orientation inaweza kula kwako! Hebu jiulize kwa mfano, wewe labda una div 3 mwenye 2 akawa amejihimu kabla ya kuanza masomo, na nafasi ipo moja, nani kati yenu atachukuliwa? Tatizo lenu .com hamjiulizi maswali mengi mnataka majibu ya mkato tu!

Wasikutishie SUA kila kozi ni ngumu, inadepend na ulivyojipanga, hadi diploma ratiba yao ni kama ya Bsc unafanya mchezo na sua wewe