Nataka kuiona nguvu ya milioni 2 kwenye biashara mpya

Asante chief kunipa nguvu. Ninapata nguvu zakupita na car wash.
 
Kwa kuwa namba 5 umewahi kuifanya maana yake una udhoefu,basi kaifanye kwa nguvu zako na akili zako zote.
Naye aketie mahali pa juu Mbinguni awe pamoja nawe,na watu wote waseme Ameen.
Ameen
 
Una mawazo kama yangu, ungekuwa DSM ningekutumia vimaelezo vya Carwash nayoifikilia ila upombali.
 
So kwa 1.5M unaweza fanya carwash safi.
 
Unajua mkuu...!!biashara kuitaja na kuitekeleza n tofauti...!!biashara co vitu au bidhaa...biashara n muuzaji....kwanza jiandae wew.....!!andaa plan...piga cost n faida....hapa nazungumzia biashara yenye uhakika wa kupata pesa kila cku....co ya kubahatisha

Ukishaona wew kama wew upo tyr kuhudumia wateja katika mazingira ya kuridhsha

Basi kila biashara itakuendea vizuri
 
Nashukuru mkuu
 
Money is i reward. Kupata pesa ni matokeo ya wewe kutatua changamoto.

So kama kuna mtu utamtatulia changamoto zake basi pesa unayo.

Yaani ili upate pesa lazima uwe umesolve changamoto yoyote ile iwe ni ya mtu kushiba au kulala au kulia au kucheka vyovyote vile.

Mwisho

Kwa sasa tulipo fikia biasbara inahitaji akili mno kuliko nguvu. Yaani ubunifu uwe ni 80% ya boashara nzima.

Sasa je wewe unajinadaa kutatua changamoto zipi hapo Dodoma? Unaona mwanta gani hapo Dodoma? Kuna nini unakiona hapo?

Hayo ndo ya muhimu sana
 
Nashukuru kwa mchango wako mkuu.
Ila ingefaa kama ungejikita kwenye kutoa wazo virgin, ukizingayia nimebainisha kua hayo mawazo yangu yasiwe limitation. Sijasema niko bounded kwenye hayo mawazo hapo. Nimesema hayo ni baadhi ya mawazo niliyonayo, nikakaribisha mawazo mengine.

Nadhani ni busara kujibu sambamba na mada, kuliko kutafuta kasoro ambayo pengine haipo.

Asante kwa mara nyingine?
Pia wacha kukulil Biashara make huu ndo Ugonjwa wetu sisi.
 
Sure.
Yani kwa sasa kila ninapopita napaasses kama panafaa, nimejikuta nikiangaza macho mji mzima mpaka watu wananishangaa.

Ila mpaka sasa nina spot tatu za msingi, one of 'em has to be it.
Changamoto ya hii biashara ni kupata eneo zuri litakalowezesha hii biashara
 
Sure.
Yani kwa sasa kila ninapopita napaasses kama panafaa, nimejikuta nikiangaza macho mji mzima mpaka watu wananishangaa.

Ila mpaka sasa nina spot tatu za msingi, one of 'em has to be it.
Kama umefanikisha kupata eneo lenye maji,umeme....anza biashara mkuu,na kwa pembeni weka 'bites'
 

Hahaa nimejaribu kukuelezea mazingira halisi sasa subiria uelezwe vile unavyo vipenda kuvisikia ndo shida zetu sisi.

Unataka tu kusikia yale unayo yapenda masikioni?

Biashara ni zaidi ya wazo mkuu sijui kama hilo unalijua.

Nazani unaamini ukisha pata wazo zuri basi umetoka hata kama una huo mtaji.

Unaweza pata Virgin Idea na still ikawa ngumu sana.

Maelezo yangu hutayaelewa na hayatkufurahisha make siko hapa kufurahisha ila nimejaribu kukupa picha kamili ukitilia maana situatuon za sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…