Mkuu watu humu zaid ya 94.79% wana ishi maisha feki na zaidi wana msongo mkubwa wa mawazo, wengine majobless humu, wengine wadangaji, wengine wahuni tu, ni wa kuwapuuzaUmenisaidia kumuelewa, me nilishindwa.
Pia unaamini kabisa wengine wanaweza kuwa na mawazo bora kuliko lako?Nashukuru kwa mchango wako mkuu.
Ila ingefaa kama ungejikita kwenye kutoa wazo virgin, ukizingayia nimebainisha kua hayo mawazo yangu yasiwe limitation. Sijasema niko bounded kwenye hayo mawazo hapo. Nimesema hayo ni baadhi ya mawazo niliyonayo, nikakaribisha mawazo mengine.
Nadhani ni busara kujibu sambamba na mada, kuliko kutafuta kasoro ambayo pengine haipo.
Asante kwa mara nyingine?
Biashara zote huwa naona ni za kuiga tu na mwisho wake kubanana tu ila kuna biashara zingine mtu anaweza kupiga hela kwa kuwa target baadhi ya raia tu na ukatengeneza hela vizuri tu
Usiwe na poor mind mzee, list izo biashara mpya ambazo wengine hawafanyi hapa duniani.Biashara zote huwa naona ni za kuiga tu na mwisho wake kubanana tu ila kuna biashara zingine mtu anaweza kupiga hela kwa kuwa target baadhi ya raia tu na ukatengeneza hela vizuri tu
Hahaa nimejaribu kukuelezea mazingira halisi sasa subiria uelezwe vile unavyo vipenda kuvisikia ndo shida zetu sisi.
Unataka tu kusikia yale unayo yapenda masikioni?
Biashara ni zaidi ya wazo mkuu sijui kama hilo unalijua.
Nazani unaamini ukisha pata wazo zuri basi umetoka hata kama una huo mtaji.
Unaweza pata Virgin Idea na still ikawa ngumu sana.
Maelezo yangu hutayaelewa na hayatkufurahisha make siko hapa kufurahisha ila nimejaribu kukupa picha kamili ukitilia maana situatuon za sasa hivi.
Usiwe na poor mind mzee, list izo biashara mpya ambazo wengine hawafanyi hapa duniani.
Biashara zote huwa naona ni za kuiga tu na mwisho wake kubanana tu ila kuna biashara zingine mtu anaweza kupiga hela kwa kuwa target baadhi ya raia tu na ukatengeneza hela vizuri tu
Sio poor mind
Na hakuna biashara isiyokuwepo duniani ambayo mimi tu naijua
Ningekuwa mtu wa ajabu sana kama hivyo
Nilikuwa nachangia tu maana zipo baadhi ya biashara ambazo wengi wanaona sio fursa
Basi mkuu rejea jibu hapo chini
Nitashukuru nikipata wazo lako mkuu. Hicho ndo kitu nilichoomba
Mfano unaweza kuanzisha biashara ya bucha ya nyama,na ukawa unaleta mzigo wa kilo 50 tu kwa siku,na kila kilo iwe inakupa faida ya sh.1000;nikimaanisha kwa mwezi ikupatie faida sh.1,500,000/= toa kodi 200,000/=,muuzaji 200,000,usafiri 100,000/=;baki na faida ya sh.1M;ongeza bucha zingine 4 baada ya hapo utakuwa unapata faida kwa mwezi sh.5M.Biashara zote huwa naona ni za kuiga tu na mwisho wake kubanana tu ila kuna biashara zingine mtu anaweza kupiga hela kwa kuwa target baadhi ya raia tu na ukatengeneza hela vizuri tu
Unaweza kwenda katika mahoteli makubwa na kuulizia kama watahitaji Samaki na kama utafanikiwa huenda unaweza kuwa supplier mzuri tu kwenye hotel kubwa za mjini
Lingine kwa kuwa Wachina wamejaa siku hizi kwetu unaweza kufungua biashara ndogo kwa mahitaji Yao kwani sio lazima uwe mchina ili uuze vyakula vyao
Kama wana wholesalers wao unaweza kununua na kuuza pia
Kwa wengine inaweza kuwa mbaya lakini kwa wengine ni fursa
Ngoja niwaze mengine
Umejitetea baada ya kuona umeandika kitu kisicho na logic, uwo msemo nauwonaga sana eti “munaigana hamna kipya” unataka kipya gani kila biashara ipo kilasehemu unataka kipya kwamba Mungu kabadili mahitaji ya watu Duniani ndio kuwe na kipya, mtu anayendika statement kama hiyo ukimuuliza toa mfano wa kipya anakimbia | hauitaji kuwa na [emoji362] mpya ili kufanikiwa.Sio poor mind
Na hakuna biashara isiyokuwepo duniani ambayo mimi tu naijua
Ningekuwa mtu wa ajabu sana kama hivyo
Nilikuwa nachangia tu maana zipo baadhi ya biashara ambazo wengi wanaona sio fursa
Basi mkuu rejea jibu hapo chini
Umejitetea baada ya kuona umeandika kitu kisicho na logic, uwo msemo nauwonaga sana eti “munaigana hamna kipya” unataka kipya gani kila biashara ipo kilasehemu unataka kipya kwamba Mungu kabadili mahitaji ya watu Duniani ndio kuwe na kipya, mtu anayendika statement kama hiyo ukimuuliza toa mfano wa kipya anakimbia | hauitaji kuwa na [emoji362] mpya ili kufanikiwa.
Mfano unaweza kuanzisha biashara ya bucha ya nyama,na ukawa unaleta mzigo wa kilo 50 tu kwa siku,na kila kilo iwe inakupa faida ya sh.1000;nikimaanisha kwa mwezi ikupatie faida sh.1,500,000/= toa kodi 200,000/=,muuzaji 200,000,usafiri 100,000/=;baki na faida ya sh.1M;ongeza bucha zingine 4 baada ya hapo utakuwa unapata faida kwa mwezi sh.5M.
Vipi mkuu umewekeza huko?Kweli biashara ya nyama inalipa na ninaijua sana
Nadhani ulipowasilisha ilileta maana tofauti kidogo mkuu.
Sasa nimekupata point yako, utuwie radhi kwa maswali tuliyokuuliza kabla ya ufafanuzi huu
Vipi mkuu umewekeza huko?
Kama mambo yatakuwa sawa nitakuja nikuombe ABC,nataka nianzishe angalau 10 kwa Arusha;wahudumu nitaweka mabinti wazuri kuvutia wateja n.kNdio mkuu ni family business ya miaka
Kama mambo yatakuwa sawa nitakuja nikuombe ABC,nata nianzishe angalau 10 kwa Arusha