Nataka kuiona nguvu ya milioni 2 kwenye biashara mpya

Nataka kuiona nguvu ya milioni 2 kwenye biashara mpya

Nashukuru kwa mchango wako mkuu.
Ila ingefaa kama ungejikita kwenye kutoa wazo virgin, ukizingayia nimebainisha kua hayo mawazo yangu yasiwe limitation. Sijasema niko bounded kwenye hayo mawazo hapo. Nimesema hayo ni baadhi ya mawazo niliyonayo, nikakaribisha mawazo mengine.

Nadhani ni busara kujibu sambamba na mada, kuliko kutafuta kasoro ambayo pengine haipo.

Asante kwa mara nyingine?
Pia unaamini kabisa wengine wanaweza kuwa na mawazo bora kuliko lako?

Unajua Story ya Kabulu alie kuja Tanzania na kuamua kufungua huku kampuni ya KKGuard?
 
Mkuu nashukuru kwa mchango wako.

Naamini mawazo yako yanasukumwa na experience yako ya maisha, na ndivyo ilivyo kwa sisi wengine wote. Tunawezapata matokeo sawa kwenye maisha kwa kupita path zinazofanana au zilizo tofauti. Naona si vema sana kusisitiza kua kama sitasikiliza mawazo yako itakua ngumu kufanikiwa, ama kusisitiza kua wazo lako ndio bora kuliko ya wachangiaji wengine.

Sidhani kama story ya kaburu wa KKGuard ndo msingi wa kila biashara.

By the way, sivutiwi na maongezi ya mtu anaeniambia "Maneno yangu huwezi kuyaelewa", naona hii kauli imejaa hisia za mtu kujihisi ana uwezo mkubwa wakufikiri kuliko anaeelezwa. Usisahau na mimi ninaubongo mkuu, tena uko timamu kabisa.

NB.
Naheshimu mawazo yako mkuu.
Hahaa nimejaribu kukuelezea mazingira halisi sasa subiria uelezwe vile unavyo vipenda kuvisikia ndo shida zetu sisi.

Unataka tu kusikia yale unayo yapenda masikioni?

Biashara ni zaidi ya wazo mkuu sijui kama hilo unalijua.

Nazani unaamini ukisha pata wazo zuri basi umetoka hata kama una huo mtaji.

Unaweza pata Virgin Idea na still ikawa ngumu sana.

Maelezo yangu hutayaelewa na hayatkufurahisha make siko hapa kufurahisha ila nimejaribu kukupa picha kamili ukitilia maana situatuon za sasa hivi.
 
Usiwe na poor mind mzee, list izo biashara mpya ambazo wengine hawafanyi hapa duniani.

Sio poor mind
Na hakuna biashara isiyokuwepo duniani ambayo mimi tu naijua
Ningekuwa mtu wa ajabu sana kama hivyo
Nilikuwa nachangia tu maana zipo baadhi ya biashara ambazo wengi wanaona sio fursa
Basi mkuu rejea jibu hapo chini
 
Tusaidie wazo lako ambalo halijawahi kufanyika duniani mkuu, kama hautojali kushare na sisi ideas
Biashara zote huwa naona ni za kuiga tu na mwisho wake kubanana tu ila kuna biashara zingine mtu anaweza kupiga hela kwa kuwa target baadhi ya raia tu na ukatengeneza hela vizuri tu
 
Nadhani ulipowasilisha ilileta maana tofauti kidogo mkuu.

Sasa nimekupata point yako, utuwie radhi kwa maswali tuliyokuuliza kabla ya ufafanuzi huu
Sio poor mind
Na hakuna biashara isiyokuwepo duniani ambayo mimi tu naijua
Ningekuwa mtu wa ajabu sana kama hivyo
Nilikuwa nachangia tu maana zipo baadhi ya biashara ambazo wengi wanaona sio fursa
Basi mkuu rejea jibu hapo chini
 
Nitashukuru nikipata wazo lako mkuu. Hicho ndo kitu nilichoomba

Unaweza kwenda katika mahoteli makubwa na kuulizia kama watahitaji Samaki na kama utafanikiwa huenda unaweza kuwa supplier mzuri tu kwenye hotel kubwa za mjini

Lingine kwa kuwa Wachina wamejaa siku hizi kwetu unaweza kufungua biashara ndogo kwa mahitaji Yao kwani sio lazima uwe mchina ili uuze vyakula vyao
Kama wana wholesalers wao unaweza kununua na kuuza pia

Kwa wengine inaweza kuwa mbaya lakini kwa wengine ni fursa
Ngoja niwaze mengine
 
Biashara zote huwa naona ni za kuiga tu na mwisho wake kubanana tu ila kuna biashara zingine mtu anaweza kupiga hela kwa kuwa target baadhi ya raia tu na ukatengeneza hela vizuri tu
Mfano unaweza kuanzisha biashara ya bucha ya nyama,na ukawa unaleta mzigo wa kilo 50 tu kwa siku,na kila kilo iwe inakupa faida ya sh.1000;nikimaanisha kwa mwezi ikupatie faida sh.1,500,000/= toa kodi 200,000/=,muuzaji 200,000,usafiri 100,000/=;baki na faida ya sh.1M;ongeza bucha zingine 4 baada ya hapo utakuwa unapata faida kwa mwezi sh.5M.
 
Asante mkuu, ukipata tena nondo usisite kushusha. Tunaonufaika ni wengi.
Unaweza kwenda katika mahoteli makubwa na kuulizia kama watahitaji Samaki na kama utafanikiwa huenda unaweza kuwa supplier mzuri tu kwenye hotel kubwa za mjini

Lingine kwa kuwa Wachina wamejaa siku hizi kwetu unaweza kufungua biashara ndogo kwa mahitaji Yao kwani sio lazima uwe mchina ili uuze vyakula vyao
Kama wana wholesalers wao unaweza kununua na kuuza pia

Kwa wengine inaweza kuwa mbaya lakini kwa wengine ni fursa
Ngoja niwaze mengine
 
Sio poor mind
Na hakuna biashara isiyokuwepo duniani ambayo mimi tu naijua
Ningekuwa mtu wa ajabu sana kama hivyo
Nilikuwa nachangia tu maana zipo baadhi ya biashara ambazo wengi wanaona sio fursa
Basi mkuu rejea jibu hapo chini
Umejitetea baada ya kuona umeandika kitu kisicho na logic, uwo msemo nauwonaga sana eti “munaigana hamna kipya” unataka kipya gani kila biashara ipo kilasehemu unataka kipya kwamba Mungu kabadili mahitaji ya watu Duniani ndio kuwe na kipya, mtu anayendika statement kama hiyo ukimuuliza toa mfano wa kipya anakimbia | hauitaji kuwa na [emoji362] mpya ili kufanikiwa.
 
Sio kuwa najitetea na biashara zipo za aina nyingi ambapo mtu unaweza ukaifanya na usipate faida na mwingine akafanikiwa
Hapa hatupo kwenye malumbano Bali kuongezeana maarifa tu
Anyway Asante kwa fikra zako kwangu maana hunijui
 
Mfano unaweza kuanzisha biashara ya bucha ya nyama,na ukawa unaleta mzigo wa kilo 50 tu kwa siku,na kila kilo iwe inakupa faida ya sh.1000;nikimaanisha kwa mwezi ikupatie faida sh.1,500,000/= toa kodi 200,000/=,muuzaji 200,000,usafiri 100,000/=;baki na faida ya sh.1M;ongeza bucha zingine 4 baada ya hapo utakuwa unapata faida kwa mwezi sh.5M.

Kweli biashara ya nyama inalipa na ninaijua sana
 
Nadhani ulipowasilisha ilileta maana tofauti kidogo mkuu.

Sasa nimekupata point yako, utuwie radhi kwa maswali tuliyokuuliza kabla ya ufafanuzi huu

Asante kwa kunielewa
Humu tumeisha pata kejeli za aina nyingi na tunavumiliana tu
Kama nilianza vibaya mnitake radhi pia
 
Back
Top Bottom