Humphrey Humphrey
Member
- Jul 13, 2019
- 51
- 93
- Thread starter
-
- #81
#1 is the best,ukiweza kidogo unaongeza na kibanda cha kuuza zile polish za dushboard,car mats kisha unamtafuta fundi mzoefu mmoja hapo Dom unamuomba akushauri vile vitu vinasaidia gari kuwa vizuri hasa kwenye engine,pia uweke baadhi ya oil litre 1&5 pia brake fluid hivi ni vitu ambavyo watu huongeza papo kwa hapo havihitaji ufundi sana so mtu akikuta unacho anakuunga.
Kuna vimiminika fulani kama oil huwa vinachanganywa na diesel or petrol vinasaidia sana kufanya gari mafuta yaende vizuri pia ukiviweka hivi inakuwa rahisi kuwauzia wateja zako ukiwaelewesha,pia ningekushauri ufanye hiyo #5 ambayo ulishawahi kuifanya.
Kila la heri mkuu.
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kujilipua nadhani hatutofautiani Sana na mimi.
Ushauri wangu kwenye kitu chochote utakachoamua kufanya jitahidi kucontrol presha kutoka kwa ndugu ama marafiki zako waliokwishafanikiwa, usijilinganishe na mtu kabisa, Kuna msemo mmoja mzuri * usilinganishe page namba 1 yako kimaisha na page no 10 ya mwenzako*,always utakuwa frustrated.
So start small and build. Jipe muda mrefu wa kutusua walau hata miaka mitano, hapo Kati kosea Sana na kujifunza .
Na hakikisha unajifunza kutoka kwa watu waluofanikiwa hata kwa kusoma vitabu vyao ama kuhudhuria event zao itakupa nguvu ya kuendelea kupambana.
Itanilipa iwapo kilo moja itanipa faida ya 1000,na kuhakikisha kilo zote 50 zinaisha kwa siku; kwa sababu fremu nitalipia 200,000/=,kijana muuzaji 200,000/=,usafirishaji 100,000/=Hilo ni kweli kabisa kama haijazoeleweka na wateja na ni mpya ina changamoto kidogo ila kama unaweza kuweka hata mbili kwa kubebana ni vizuri zaidi
La kujiuliza je hiyo kilo 50 itakulipa kwa kodi na ushuru pamoja na mishahara?
tafuta odd tatu weka Nigeria anshinda hela kiulainiiii
Najiwahi kbs..naomb ajira hapo mkuu
Itanilipa iwapo kilo moja itanipa faida ya 1000,na kuhakikisha kilo zote 50 zinaisha kwa siku; kwa sababu fremu nitalipia 200,000/=,kijana muuzaji 200,000/=,usafirishaji 100,000/=
Asante mkuuAll the best mkuu
tafuta odd tatu weka Nigeria anshinda hela kiulainiiii
Hii inakuwaje mkuu?Kama upo sehemu changamfu biashara ya pay point imekaa vyema. Usiogope kama wapo wengine hilo eneo wanafanya biashara hiyo, cha muhimu ni kuwa na salio muda wote baada ya muda wa miezi kadhaa watakuzoea tu.
Kila la kheri ndugu.
Biashara pekee itakayo inua mtaj wako ni MANG SHOP. Yani duka la bithaa ndogo ndogo za nyumbaniNaweka swala langu hapa nikiamini sijakosea.
Shida yangu kubwa ni namna yakuifanya 2.0Mil ianzishe na kusustain biashara.
Shortly; mimi ni kijana nipo dodoma, nilikua nafanya kazi sehemu flani mkoa jirani, nikapata post ya serikalini, sikuipenda ila wanaonizunguka hasa familia haikutazama kama nilivyotazama mimi (Najua inafahamika namna gani watu wanatamani kuajiriwa serikalini). Ndoto zangu sio kuajiriwa milele hivyo kwangu haikua golden chance kama walivyoiona wao.
Kiufupi walifanya nikaacha kazi niliyofanya(private) kwaajili ya hiyo post ya serikali ambayo hivi ninavyoandika imeshashindikana (sioni haja yakufafanua hapo)
Kikubwa ni kua baada ya gharama zote zakusatle kwenye kazi mpya iliyoharibika nimejikuta nimebaki na milioni mbili tuu, na sijisikii tena kuomba ajira kwa mtu yeyote maana hata kilicho fanya hiyo kazi mpya kuharibika ni pale mkuu mmoja wa idara alipotaka nimuabudu na kumnyenyekea kupita kiasi ( msiniquote vibaya, mimi niko humble sana tuu, ila kila kitu kina kiasi)
Sasa nataka kufanya biashara simple inayofit kwenye hiyo capital yangu. Nahitaji msaada wa idea inayotekelezeka maana all my life will depend on that.
Kama upo sehemu changamfu biashara ya pay point imekaa vyema. Usiogope kama wapo wengine hilo eneo wanafanya biashara hiyo, cha muhimu ni kuwa na salio muda wote baada ya muda wa miezi kadhaa watakuzoea tu.
Kila la kheri ndugu.
Ni kweli kabisa mkuu,nakumbuka nilikuwa nalipa kodi laki 5 Mara gafla nikaambiwa laki 8,sijakaa sawa 1milioni,kabla sijamaliza kushangaa nikaambiwa nihameBiashara hii ni nzuri changamoto ni kwenye eneo kwa ajili ya hiyo biashara....kama umekodi kwa mswahili akiona unapata...unashangaa timbwilitimbwili linaanza
ha ha ha ha alafu ukiondoka,yeye mwenyewe anaendeleza hiyo biasharaNi kweli kabisa mkuu,nakumbuka nilikuwa nalipa kodi laki 5 Mara gafla nikaambiwa laki 8,sijakaa sawa 1milioni,kabla sijamaliza kushangaa nikaambiwa nihame
Ni kweli kabisa mkuu,nakumbuka nilikuwa nalipa kodi laki 5 Mara gafla nikaambiwa laki 8,sijakaa sawa 1milioni,kabla sijamaliza kushangaa nikaambiwa nihame
Tafuta vijana 20 nunua Katanga watembeze na kuleta salio kila siku elfu 10 Fanya hesabu mwenyewe hapoNaweka swala langu hapa nikiamini sijakosea.
Shida yangu kubwa ni namna yakuifanya 2.0Mil ianzishe na kusustain biashara.
Shortly; mimi ni kijana nipo dodoma, nilikua nafanya kazi sehemu flani mkoa jirani, nikapata post ya serikalini, sikuipenda ila wanaonizunguka hasa familia haikutazama kama nilivyotazama mimi (Najua inafahamika namna gani watu wanatamani kuajiriwa serikalini). Ndoto zangu sio kuajiriwa milele hivyo kwangu haikua golden chance kama walivyoiona wao.
Kiufupi walifanya nikaacha kazi niliyofanya(private) kwaajili ya hiyo post ya serikali ambayo hivi ninavyoandika imeshashindikana (sioni haja yakufafanua hapo)
Kikubwa ni kua baada ya gharama zote zakusatle kwenye kazi mpya iliyoharibika nimejikuta nimebaki na milioni mbili tuu, na sijisikii tena kuomba ajira kwa mtu yeyote maana hata kilicho fanya hiyo kazi mpya kuharibika ni pale mkuu mmoja wa idara alipotaka nimuabudu na kumnyenyekea kupita kiasi ( msiniquote vibaya, mimi niko humble sana tuu, ila kila kitu kina kiasi)
Sasa nataka kufanya biashara simple inayofit kwenye hiyo capital yangu. Nahitaji msaada wa idea inayotekelezeka maana all my life will depend on that.
Mkuu kumbe unavutia eeh.. maana mjumbe ametanabahisha kua lengo lakuweka wadada ni kuvutia.
Natania tuu..
Fanya unaloona kwako linafaa,usituchoshe,hela yako wewe,matumizi tukupangie sisi.