Humphrey Humphrey
Member
- Jul 13, 2019
- 51
- 93
- Thread starter
- #81
Shukrani sana mkuu
#1 is the best,ukiweza kidogo unaongeza na kibanda cha kuuza zile polish za dushboard,car mats kisha unamtafuta fundi mzoefu mmoja hapo Dom unamuomba akushauri vile vitu vinasaidia gari kuwa vizuri hasa kwenye engine,pia uweke baadhi ya oil litre 1&5 pia brake fluid hivi ni vitu ambavyo watu huongeza papo kwa hapo havihitaji ufundi sana so mtu akikuta unacho anakuunga.
Kuna vimiminika fulani kama oil huwa vinachanganywa na diesel or petrol vinasaidia sana kufanya gari mafuta yaende vizuri pia ukiviweka hivi inakuwa rahisi kuwauzia wateja zako ukiwaelewesha,pia ningekushauri ufanye hiyo #5 ambayo ulishawahi kuifanya.
Kila la heri mkuu.