Tetesi: Nataka kujiunga FOREX

Tetesi: Nataka kujiunga FOREX

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
baada ya kutafakari kwa muda nimeamua kufanya maamuzi ya kutaka kujiunga forex

wakuu ni vitu gani napaswa kuandaa na kulipia hadi niwe mwanachama

Pia je itamfaa mtu anaesafiri mara kwa mara?
 
ontario kichwa hiki kinakutafuta

ila huyu mteja simuamini muamini nahisi anatatafuta sababu aanzishe ugomvi mzito
 
Mtafute Ontario na team yake ya TMT watakupa mwongozo wa jinsi gani unaweza fanya ili kufanikisha dhumuni lako.

NB: Sio baada ya mda unakuja kulia lia humu.!
 
Watafute TmT the matapeli team

Wakueke vizur ubongo huo naona umejaa mavi.

Lowasa: elimu elimu elimu elimu.
 
Back
Top Bottom