Upadre naoutaka ni wa Kanisa Katoliki Mkuu.Kama unataka upadre wa jamii forum basi subiri majibu ya wadau ila kama una nia ya kweli ni vyema ukaenda kanisani na kukutania na padre wa miito ambaye atakujibu maswali yako yote bila wasiwasi.
Sasa hivi ajira mtaaani hakuna watu wanawinda upadri zamani ulikuwa unakimbiwa Sasa hivi ma jobless yanataka upadriUpadre naoutaka ni wa Kanisa Katoliki Mkuu.
Haya maswali nimeyaleta hapa ili kupata mwanga mahali pa kuanzia.
Oky basi kuna mapadre wa majimbo na mapadre wa mashirika.Upadre naoutaka ni wa Kanisa Katoliki Mkuu.
Haya maswali nimeyaleta hapa ili kupata mwanga mahali pa kuanzia.
Kumbe imekuwa fursaSasa hivi ajira mtaaani hakuna watu wanawinda upadri zamani ulikuwa unakimbiwa Sasa hivi ma jobless yanataka upadri
Acha kupoteza muda.Oky basi kuna mapadre wa majimbo na mapadre wa mashirika.
Je ww unapenda kuwa padre wa jimbo au shirika?
Kama unataka upadre kupitia jimbo basi naenda kanisani utaonana na mkurugenzi wa miito.
Ila kama unataka upadre wa shirika basi chagua shirika unalolitaka wasiliana nao,watakupa vigezo vyao ni rahisi tu.
Hakuna umri maalum mkuu, hata uwe na miaka 80.1.Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
Kidato cha sita kwa ufaulu wa daraja la kwanza na la pili au walau stashada (Diploma) kwa ufaulu wa walau upper second na kuendelea.2.Je ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
Kama hamkufunga ndoa ya Kikatoliki unaruhusiwa lakini ulihakikishie Kanisa una utaratibu maalum utakaohakikisha mtoto anapata malezi yote (Kiuchumi) nje Kanisa.3.Je kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Process ya vetting huwa ndefu hasa si chini ya miaka kadhaaOngea na baba Paroko wa Parokia yako.
Siyo lazima, vetting inafanyika kipindi cha malezi ambacho ni miezi mitatu hadi mwaka kutegemeana na Jimbo au Shirika husika.Process ya vetting huwa ndefu hasa si chini ya miaka kadhaa
Kama hujui bora usubiri majibu humu humu kama sisi.Nenda kanisa katoliki lolote jran yako.watakujibu yote
Huingii bila vetting. upadre sio tu kulipa adaHamna Mkuu, kwani mafunzo yanatolewa bure bila gharama?