Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Wanajuaje?huyu kwa kuwa na mahusiano ya kingono wanaita kuzini na kujaliiwa kupata mtoto tayari keshapoteza sifa ya njee ya kuwa padri. Fanya jitihada za kulea mtoto na sio kondoo wa Bwana. Rafiki yangu mmoja alikua anasoma seminari ndogo akatia mimba binti kule kijijini kwao wakafanya Siri. Wiki moja kabla ya kupata ushemashi ikajulikana, jamaa alitimuliwa bila huruma na Sasa Yuko mtaani bosi kampuni fulani ya serikali na Ana watoto Tisa sasa na maisha yanaendelea