Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo la kwanza u padri ni wito, mchakato wake una mambo mengi kuanzia ukuaji wako, uhusiano wako na kanisa nk.Habari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1.Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2.Je ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3.Je kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
1. Hakuna umri wa mwisho kuwa padre, hata uzeeni unaweza pewa daraja takatifuHabari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1.Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2.Je ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3.Je kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
Usimvunje moyo mwenzako.Huo ni utume, Watumwa wa utume huo WANAO WITO... Swali la kwanza je, wewe una wito huo au UNATAKA?
WITO huu unahakikiwa kuanzia seminary ndogo mpaka juu huko, sio rahisi kuchukua "Hoehae/mangumblu" toka mtaani.. Je, wewe umewahi kupita kwenye malezi ya kitume?
UNATAKA (Kadiri ya maandishi yako) kujiunga upadre, je washirika/jimbo?
Haloo, SIKUKATISHI TAMAA, LAKINI una asilimia 0.98% za KUUPATA.
Mimi sijui lolote, NIMELOPOKA TU.
Hiyo ndio inaitwa vetting kwa wale mliouliza vetting ni kitu gani kwenye kujiunga upadriJambo la kwanza u padri ni wito, mchakato wake una mambo mengi kuanzia ukuaji wako, uhusiano wako na kanisa nk.
Hapa hapa pia kuna majibu mazuri. Ni kuchambua tu jema na baya. Amefanya vizuri na atapata msaada anaouhitajiKama unataka upadre wa jamii forum basi subiri majibu ya wadau ila kama una nia ya kweli ni vyema ukaenda kanisani na kukutania na padre wa miito ambaye atakujibu maswali yako yote bila wasiwasi.
Seminari kuu sio miaka 6,ni miaka 8 hadi 9, Miaka mitatu (3) Ni Falsafa, Miaka minne (4) ni Teolojia, Mwaka mmoja (1)wa Uchungaji.Sometimes km kuna shida Ktk ufaulu au nidhamu huweza kwenda miaka ,8 hadi 9 na sometimes 10.Ukifika darasa la Saba unafanya mitihani ya seminari ili kukuandaa kuingia kidato cha kwanza ,ukifaulu kwa alama wanazotaka basi unapewa fomu ya kujaza ,unalipa ada zao na ndipo tunaanza kidato cha kwanza ,suala la umri ukiingia kidato cha kwanza unasoma pre_form one mwaka mmoja,mpaka unamaliza sekondari unakuwa umetumikia miaka mitano lakini pia kuna mitihani ambayo unafanya hiyo mitihani ukipata chini ya alama 50 unarudishwa nyumbani kwa maana umeshindwa kuendelea na shule hivyo kama ulianza na miaka 14 utamaliza na miaka 19 ,mwaka wa mwisho wa masomo unachagua masomo yako matatu pamoja na Bible knowledge huku ukichagua shule za kidato cha tano ambazo zinahusika na seminari za kikristo pia unatakiwa ufaulu kwa kiwango cha division one au two zile za mwanzo hivyo ukifaulu unakwenda kusoma kwa miaka miwili yaani five na six ,jumlisha miaka 19 na hii miwili inakuwa miaka 21 baada ya hapo ukifaulu unakwenda chuo kwa miaka kama 6 hivyo mpaka unamaliza unakuwa na miaka 27,28,30 na ndani ya hiyo miaka 6 ndipo unaambiwa hakuna kuona wewe utahudumia jamii tu
Yesu alichukuwa watu hoe hae kina Mtume Petro na wakawa bonge ya mitume...Huo ni utume, Watumwa wa utume huo WANAO WITO... Swali la kwanza je, wewe una wito huo au UNATAKA?
WITO huu unahakikiwa kuanzia seminary ndogo mpaka juu huko, sio rahisi kuchukua "Hoehae/mangumblu" toka mtaani.. Je, wewe umewahi kupita kwenye malezi ya kitume?
UNATAKA (Kadiri ya maandishi yako) kujiunga upadre, je washirika/jimbo?
Haloo, SIKUKATISHI TAMAA, LAKINI una asilimia 0.98% za KUUPATA.
Mimi sijui lolote, NIMELOPOKA TU.
Kumbe naweza acha niende jimboni nilijuaga vigezo vingii sanaaKujiunga upadre siyo lazima uwe umesoma seminari ndogo (Elimu ya upili - secondary). Unatakiwa tu kuwa Mkatoliki hai na usiyekuwa kwenye wito wa ndoa na uwe umefaulu vizuri.
Hapana mkuu, mavuno ni mengi ila watenda kazi ni wachache.Kumbe naweza acha niende jimboni nilijuaga vigezo vingii sanaa
Mwaka mmoja wa malezi sijauona apoa,wazee wa kipalapala ntungamo,na segereaSeminari kuu sio miaka 6,ni miaka 8 hadi 9, Miaka mitatu (3) Ni Falsafa, Miaka minne (4) ni Teolojia, Mwaka mmoja (1)wa Uchungaji.Sometimes km kuna shida Ktk ufaulu au nidhamu huweza kwenda miaka ,8 hadi 9 na sometimes 10.
Tafuta kuonana na mkurugenzi wa miito jimbo katoliki ulilopoHabari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1.Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2.Je ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3.Je kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
Nenda mkuu, au njoo PM kwa maelezo zaidi kwa kulijenga hilo wazo lakoKumbe naweza acha niende jimboni nilijuaga vigezo vingii sanaa
Number 3 imekuengua..... wewe ni mleiHabari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3. Je, kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
Kwanza hakuna masomo yanaitwa masomo ya upadre. Upadre ni Sakramenti. Pili umeshafeli kabla hata hujaanza jitihada zako. Upadre sio wa kombania. Njia sahihi muhimu na ya kwanza ni kuonana na paroko wa mahali husika uliopo.Habari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3. Je, kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
Anao wito. Na anaweza bado kuwa Padre. Msome vizuri Mt. Agustino wa HippoNumber 3 imekuengua..... wewe ni mlei
Swali la kwanza Hakuna mwisho wa umri kujiunga na upadri.Habari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea na masomo ya Upadre?
3. Je, kama nilikuwa na mahausiano ambayo sikufunga Ndoa Kanisani, baadae mahusiano yakafa na tumeshapata Mtoto inakuaje?
Nakuombeni ufafanuzi wa kina wandugu.
Alichomaanisha masomo ya theolojia,malezi ñkKwanza hakuna masomo yanaitwa masomo ya upadre. Upadre ni Sakramenti. Pili umeshafeli kabla hata hujaanza jitihada zako. Upadre sio wa kombania. Njia sahihi muhimu na ya kwanza ni kuonana na paroko wa mahali husika uliopo.