Nataka kujiunga na Upadre ila kuna ufafanuzi ambao sijaupata

Wanajuaje?
 
Mkuu ushakula mbususu hadi ukapata mtoto ndio unataka kua padre? Mbususu za masista zitakua salama kweli?
Hivi Kanisa linaangalia uwezekano wa Kulitumikia kuliko kukutoa inje.
 
Mwamba anachekesha sana, yaani kaishapata na kid lakini bado anadhani anaweza kuwa Padre
 
Hamna Mkuu, kwani mafunzo yanatolewa bure bila gharama?
Katika level ya elimu ya sekondari ndipo wanapolipa Ada.
Baada ya hapo ni free life utapewa sehemu ya kukaa bure, Msosi bure , kusomeshwa philosophy na baadae theology na kapesa kadogo cha kujikimu.
Ukikaa kaa nao Sana ukafika level ya ushemasi ukiwazingua wanakufukuza.
Hakuna pension huko ukifukuzwa wanakupa kitanda, godoro ,gunia la mahindi na maharage ukaendelee na maisha kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…