Mtoa mada usihaingaike na mwalimu utapoteza mda.Walimu wamejaa tiktok,youtube,google play,google nk.
Tafuta content zinazokufaa anza kujifunza.
Kama unapenda american english tafuta wamarekani, kama pigin english,au english za kiafrika wapo mtandaoni.
Ukitafuta mwalimu utarudi kule ulikoshindwa std7.
Ulishindwa kuelewa kwa sababu njia zilizotumika sio sahihi kwako. So, zingatia mahitaji yako wewe sasa ni mkubwa sio suala la kufuata mfumo bali unda mfumo wako. Mwalimu akiwepo basi awe ziada tu.
Kwa uzoefu wangu inTZ walimu wachache sana wana skill za kufundisha kingereza na lugha nyingine.
Ikiwezekana Tafuta muhindi au mchina mji uliopo waswahili watakukaalilisha misamiati na tense, hawako competrnt kabisa.
Niliwahi soma kozi ya kichina, hao watu they know how to teach the language sio kama sisi. Kwa umri wowote unaweza kuelewa lugha.