bei ya kindezi kiwandan hapo itakua 80k kila mmojaNiuzie mimi hao mbuzi wote kwa bei ya shilingi elfu 50 kila mmoja.
Sawa nenda kakopwe uzungushwe malipo yako mpaka upate kisukari.bei ya kindezi kiwandan hapo itakua 80k kila mmoja
Nipe experience mkuu,,, hawalipi?Sawa nenda kakopwe uzungushwe malipo yako mpaka upate kisukari.
Kiwanda cha kuchakata nyama, nafikiri ndio anamaanisha hivyoViwanda vya nyama ya mbuzi?
haswaaaKiwanda cha kuchakata nyama, nafikiri ndio anamaanisha hivyo
Sio minada bali hawa huchinja, na kusindika na kusafirisha nje
Mimi ndio naelewa hivyo kama kiwanda
Sasa ayo mambo ya kuzunguka minadani siyataki nataka kuwa permanent supplier wa mbuziMkuu mbuzi kwa sasa wana bei sana minadani hadi 150000
We kauze tuNipe experience mkuu,,, hawalipi?
Kanda ya ziwa hakuna bei hiyo,labda huko kwingine..kanda ya ziwa bei inarange 40k to 60k.tembelea minada boss ujioneeMkuu mbuzi kwa sasa wana bei sana minadani hadi 150000
Unazungumzia kanda ya ziwa gani? Musoma mbuzi wanauzwa Hadi laki 2, wastani ni 70-80k wale wa saizi ndogo. 40k labda katoto KambuziKanda ya ziwa hakuna bei hiyo,labda huko kwingine..kanda ya ziwa bei inarange 40k to 60k.tembelea minada boss ujionee
hakunaWenye uelewa na hili swala
Nina mbuzi wangu 80
aiseehakuna
Aisee huko mbuzi wanapelekwa kenya auUnazungumzia kanda ya ziwa gani? Musoma mbuzi wanauzwa Hadi laki 2, wastani ni 70-80k wale wa saizi ndogo. 40k labda katoto Kambuzi
kwaiyo naww unataka nitumbukie kwene shimo bila kunipa maarifa ya uzoefu wakoWe kauze tu
Kaka habari. Hoja yako ya soko la mbuzi a.k.a vipi ulifanikiwa unisaidie pia uelewa?kwaiyo naww unataka nitumbukie kwene shimo bila kunipa maarifa ya uzoefu wako
Kaka habari. Hoja yako ya soko la mbuzi a.k.a vipi ulifanikiwa unisaidie pia uelewa?Wenye uelewa na hili swala
Nina mbuzi wangu 80