Nataka kujua Viwanda vya nyama ya mbuzi vinavyopatikana kanda ya ziwa

Kanda ya ziwa hakuna bei hiyo,labda huko kwingine..kanda ya ziwa bei inarange 40k to 60k.tembelea minada boss ujionee
Unazungumzia kanda ya ziwa gani? Musoma mbuzi wanauzwa Hadi laki 2, wastani ni 70-80k wale wa saizi ndogo. 40k labda katoto Kambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…