Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

Kama akimchomea police huyo marehemu atafufuka ?? Aache ipite kama kweli aliua bila kosa basi karma naye itamrudi
Akili za hivi ni za wapi jamani, nyie ndiyo mnafuga majambazi majumbani mwenu. Huyu bwana akishafikishwa mbele ya mahakama na akapatikana na hatia na kupewa adhabu basi marehemu anakuwa amepata haki yake.
 
Dah,jamaa katili kumbe!!
 
ujinga huo hakuna ushujaa wowote katika stori zako. Waharifu ni watu wa kuripotiwa si wakufugwa mtaani. Mnalea mabomu siku yakiwalipukia mnaanza kulaumu serikali.
 
Shida ya PGO point 32 wewe ndio utakamatwa , muuaji ataendelea kutafutwa
 
Kumbuka wewe pia ulizalisha mwanafunzi tabola ukakimbilia huko mwaka wa nane huu au nawe tukuchome ? Sio fresh mkuu
mtoto wa kike au kiume? Huku pwani ata Ukifumaniwa wewe ni Kidume weka picha basi nimwone Mwanangu
 
Fanya yako ndg ni drug dealer huyo siunaona wezako wanakatwa vichwa ofisini hatupendi yatokee hata polisi yenyewe mguu sawa mguu pande
 
Polisi wa Tanzania wana matatizo ya kiakili na wazembe.....watu wameshamlalamikia Kamanda Sirro kuwa wamkamate IGP wa zamani (Omar Mahita) kwa ujambazi wa uporaji hela mabenki na kuua walinzi lakini mpaka leo bado yupo tu mitaani anatapatapa. Ridhiwani Kikwete alikamatwa China na makontena ya unga lakini yuko mitaani tu anakula madafu na kucheka watu aliowaharibu akili mitaani kwa madawa ya kulevya. usishangae hata huyu jamda unayemtaja hapa hachukuliwi hatua yeyeote mpaka atazeeka.
 
piga namba hii 0787668306...lakini amekukosea nini hadi unatakaa kumchoma...?
Kweli mtu aliyeua unataka afichwe! Sema mwandishi nae kama alimficha kwa stahili flani ila sasa hivi yeye na huyo mwamba hawapo vizuri tena. Anataka kuja hapa kuonekana mwema.
 
Umeonyesha uzalendo wa hali ya juu.
Tatizo linaanzia pale polisi wetu wengi hugeuza kesi kuwa dili, na wakiona hamna dili ndipo wanaifikisha mahakamani.
 
Hii issue atakuwa anaielewa vizuri zaidi Lugumi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…