Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Nasisi aliotutendea mema wala hata hakutunua tunashitaki wapi?
 
Hivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Ujue aliwagusa kwenye mshono
 
Hicho kwangu Kama chakula. Unataka kusema nn mkuu? Kwamba hashitakiwi?

Mkuu chama kimerudi kwa wenye chama. Vivyo hivyo nchi imerudi kwa wenye nchi. Naishia hapo
Kwahiyo ulimis wizi na uonevu wasio nacho siyo!
 
Mpumbavu kama huyu kapewa likes 31 kwa upuuzi huu alioandika.

Tuna safari ndefu sana
 
Umemjibu!
Sijui kama atajaribu kujitutumua.
 
Kwa comments hizi naamini ni kwanini jamaa alikufa haraka hakuomba hata maji ya kunywa na kafa na mavi yake tumboni
 
Kweli ninyi hakuwapenda kwasababu
Mlikuwa majizi,wavivu makzini,waonevu NK.
lakini sisi raia wema alitupenda na sisi tulimpenda.
 
Kwa comments hizi naamini ni kwanini jamaa alikufa haraka hakuomba hata maji ya kunywa na kafa na mavi yake tumboni
Acheni acheni kejeri kama hizi vinginevyo uwe na ushahidi wahayo mnayomzushiya.
Na uombe kweli iwe kama unavyodhani vinginevyo unafanya dhambi mbaya sana.
 
Ubaya wa mauaji ya waliompinga ama kutofautiana naye , ikiwemo uchomaji wa vifaranga na uporaji wa mifugo ya nchi jirani umefunika kila kitu na hauna msamaha duniani wala mbinguni
 
Sasa chukulia ndiyo umefungua kesi na umeshinda na imekuwa hivyo unavyotaka,unadhani itabadilisha nini katika historia na kwa watu walio shuhudia hali ilivyo kuwa ?
 
Na ukishinda kesi mizimu ilipe au mimi nacomment huku nimelewa
 
sasa wewe hemaphrodite

kwa sasa si kuna uhuru, HAO WATU WATAJE AKINA NANI WALIHUSIKA, NA MAJINA YAO!!

HATA LISSU ASEME WALIOTAKA KUMUU, KUBWA LA MAADUI SI KAISHA KUFA??

WEKENI WAZI KILA KITU SASA

BWABWA WE
 
Naunga mkono hoja Kwa dhati kabisa
 
Hahahahhahahaa eti Juma Awesso,hawa mawaziri ambao wanatembea na vyombo vya habari mgongoni ka Machinga ndo kirahisi hivi aje kuwa Raisi,una umwa wewe lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…