Magufuli atawatesa Sana kwa miongo kadhaa mpaka mje kumsahau.
Sisi tunamshukuru kwa kutuondolea watumishi hewa na kuweka mifumo imara kwenye payroll...SGR,BWAWA LA NYERERE,STAND MIKOANI,MIFUMO YA AFYA, AMANI KTK MIPAKA YA NCHI AMEIACHA SALAMA...pia kutujengea barabara maana yetu ndo kasimamia pesa tumetoa sisi.atabaki kwenye kumbukumbu mpaka wakati usio na kipimo...Mimi na wewe tutasahaulika ila sio magufuli na lazima siku moja kwenye noti awekwe ndipo utajua hujui.
Tena baada ya nyerere ndiye mtu anayeongozwa na kupendwa na wenye nchi..fanya tafiti DOA alilonalo katika UTAWALA wake NI lissu kupigwa risasi kwanini magufuli hakuchukua hatua za haraka yeye Kama rais wa nchi Kama hakuhusika alipaswa atoe kauli au afanye Jambo watu wawajibike...pamoja na hayo Bado wenye nchi wakikumbuka mazuri yake wanakosa say huenda ndiye au siye muhusika maana nchi yetu NI kubwa mno......all in all Bado NI rais ambaye hatakuja kutokea labda kidogo juma awesso namuombea Mungu amjalie boss wangu huyu siku moja awe rais wetu.